Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| According to @TheAthletic, Arsenal reportedly want Brentford GK David Raya in as a replacement for Emi Martinez if he is to leave.
 
Arsenal are willing to sell Emi Martinez for £20m and reinvest £10-£15m on Champions GK David Raya.
 
Muongo. Mihemko ndiyo hadi analiwa mate? Huyu kocha yupo sawa kweli?
Mkuu hilo ni kiss la shavuni acheni kukuza mambo. Halafu wazungu mambo hayo ya wanaume kupigana kiss, kushikana makalio hasa kwenye mpira ni jambo la kawaida sana.

Nakumbuka ulinisema nilipotoa draw na BHA ile mechi ya kirafiki. Sijakusikia ukiongelea game yako na Aston Villa. Usalama upo mkuu?
 
Hapa full backs huwa wana advance kama wingers wakati team inashambulia kwa kuwa huu mfumo ( maarufu kama Christmas tree formation) huwa una retain two strikers wakati wote.

Hata hivyo mara nyingi wakati wa kushambulia huwa 4-3-1-2 ina switch kwenye diamond 4-4-2, hiyo 3 ni complete central midfielders ambao mmoja wao huwa anatoa cover kwa defenders na hiyo 1 anakuwa ni attacking midfielder mostly anacheza kwenye 3/4 ya opponent.
Wewe ni ambangile?
 
Astonvilla wametuma ofa ya ya £20m inayokaribia bei wanayoitaka Arsenal kwa Emi Martinez .

Astonvilla wanasubiri jibu , lakini Arsenal haitamuuza Martinez hadi ipate mbadala ,ambaye anafikiriwa kuwa ni David Gaya wa Brentford.

Kocha wa makipa aliyemsaidia sana Kupandisha kiwango INAK CANA ndiye ametoa ushauri kwa Arteta iwapo Martinez ataondoka wakamchukue David Gaya ,

Ikumbukwe INAK CANA alitokea Brentford msimu uliopita na kuungana na Arteta katika benchi la Ufundi

Pia kuna taarifa Arteta amebadili mawazo ya kumtoa kwa mkopo mlinzi wa kati Rob holding .
 
Arteta kila mchezaji anataka kumretain, ana jambo gani msimu huu?
Nadhani lengo kuu la Arteta ni kuwadevelop hawa watoto katika namna anayohitaji yeye.

Mara nyingi hawa watoto wanaenda timu ndogo kupata game time ya kutosha lakini ni ukweli kwamba wanaenda tu kuzisaidia hizo team ila wao kama players hawafaidiki kwa maana ya viwango na ubora wao.

Utakumbuka hata Raheem Sterling alikuwa mchezaji nyota pale Liverpool lakini hakuwa hata na nusu ya kiwango alicho nacho leo baada ya kwenda City na Arteta ndio alikuwa responsible kumbadilisha chini ya Pep.

Ni makocha wengi wenye uwezo wa kuwatumia wachezaji kwa kile walicho nacho lakini si kuwaboresha, nadhani hapo ndipo Arteta anataka kulea 'watoto' wake kuliko kuwagawa kwa mikopo kisha wanadumaa viwango.
 
Ni kweli , Ila Napenda Anavyowalea na kuwaingiza taratibu kuzoea mazingira bila presha ,

Ni katika kipindi hiki hata ofa zimekuwa zikija kwa vijana wengi wanaotoka academy

Ofa zimeshakuja kwa Niles,Martinez ,hadi sasa na hawa ndio wale aliowapa nafasi sana

Msimu huu kijana kama Nelson ata develop zaidi

Amemwambia Martinel yeye ni CF na sio LW , hivo akipona atatumika kama CF

Ceballos amekataa ofa mbili za timu nyingine , ili arudi mikononi mwa Arteta

Kwakweli kabla hajaleta watu Wake taratibu, kwanza hawa waliopo amewaongezea vitu Vingi

Ceballos anasema

"Kocha alikuwa wazi kuhusu mimi na akasema kwamba ikiwa ningejiweka sawa na kuendelea kufanya mazoezi kwa bidii, ningepata nafasi ya kurudi kwenye timu."

(wakati Arteta akichukua timu kwa mara ya kwanza)

"Nadhani amenifanya kuwa mchezaji bora zaidi katika miezi sita iliyopita."
 
Hapa full backs huwa wana advance kama wingers wakati team inashambulia kwa kuwa huu mfumo ( maarufu kama Christmas tree formation) huwa una retain two strikers wakati wote.

Hata hivyo mara nyingi wakati wa kushambulia huwa 4-3-1-2 ina switch kwenye diamond 4-4-2, hiyo 3 ni complete central midfielders ambao mmoja wao huwa anatoa cover kwa defenders na hiyo 1 anakuwa ni attacking midfielder mostly anacheza kwenye 3/4 ya opponent.
Umechambua fresh..

Halafu kwenye huo mfumo nilikuwa namuona babu Pirlo akichezeshwa sana chini (deep)..

Sababu ndio uliyozungumzia hapo: ku assist mabeki kwa kuunganisha timu kutoka nyuma na pia kupandisha timu. Hapo kazi ya ukabaji sio yake. Itokee tu!

Wakabaji wanakuwa ni hao wakina Pogba na Marchisio huku Arturo Vidal akiwa anasaidia kukaba kuanzia juu.
 
Mkuu hilo ni kiss la shavuni acheni kukuza mambo. Halafu wazungu mambo hayo ya wanaume kupigana kiss, kushikana makalio hasa kwenye mpira ni jambo la kawaida sana.

Nakumbuka ulinisema nilipotoa draw na BHA ile mechi ya kirafiki. Sijakusikia ukiongelea game yako na Aston Villa. Usalama upo mkuu?
Siyo kiss la shavu. Ameliwa mate.
 
Ni kweli , Ila Napenda Anavyowalea na kuwaingiza taratibu kuzoea mazingira bila presha ,

Ni katika kipindi hiki hata ofa zimekuwa zikija kwa vijana wengi wanaotoka academy

Ofa zimeshakuja kwa Niles,Martinez ,hadi sasa na hawa ndio wale aliowapa nafasi sana

Msimu huu kijana kama Nelson ata develop zaidi

Amemwambia Martinel yeye ni CF na sio LW , hivo akipona atatumika kama CF

Ceballos amekataa ofa mbili za timu nyingine , ili arudi mikononi mwa Arteta

Kwakweli kabla hajaleta watu Wake taratibu, kwanza hawa waliopo amewaongezea vitu Vingi

Ceballos anasema

"Kocha alikuwa wazi kuhusu mimi na akasema kwamba ikiwa ningejiweka sawa na kuendelea kufanya mazoezi kwa bidii, ningepata nafasi ya kurudi kwenye timu."

(wakati Arteta akichukua timu kwa mara ya kwanza)

"Nadhani amenifanya kuwa mchezaji bora zaidi katika miezi sita iliyopita."
Sawa kabisa, Arteta ana uwezo wa kupika wachezaji ndio maana unaona pamoja na kuwa hatupo Uefa wachezaji (hasa under 25) wanakubali kuja Arsenal na wengine kuacha team zao ama zinazo wamiliki ambazo ziko Uefa.

Agents na players wengi bila shaka wameiona hiyo potential kwa Arteta, kama sio issue ya ufinyu wa bajeti yetu dirisha hili tulikuwa na uwezo wa kuwanasa Coutinho, Aouar na Partey na hao wote wanaacha vilabu vinavyo shiriki Uefa kama ilivyo kwa Willian, Ceballos na Gabriel.
 
Umechambua fresh..

Halafu kwenye huo mfumo nilikuwa namuona babu Pirlo akichezeshwa sana chini (deep)..

Sababu ndio uliyozungumzia hapo: ku assist mabeki kwa kuunganisha timu kutoka nyuma na pia kupandisha timu. Hapo kazi ya ukabaji sio yake. Itokee tu!

Wakabaji wanakuwa ni hao wakina Pogba na Marchisio huku Arturo Vidal akiwa anasaidia kukaba kuanzia juu.

Sahihi mkuu, kwenye role ya deep lying midfield huyu Andrea Pirlo ndio the most genius player.

Utaona Allegri alimtumia akiwa na Ac Milan na baadaye alipoenda Juve pia alimvuta Pirlo pale akaendelee kuchafua kwenye hiyo role.

Pia Carlo Ancelotti aliutumia huo mfumo katika msimu wake wa kwanza pale Chelsea akimpa Lampard role ya deep lying midfielder.
 
Unai Emery alitaka Xhaka acheze hivyo Arsenal

bila kuzingatia kabisa kuwa Xhaka sio Pirlo au Thiago motta wa PSG ndo maana Xhaka akawa Takataka wakachukiwa sana wa Fans

hapo huyo Emery akampandisha Torreira awe namba 8-10 eti ni Box to Box midfielder

Yani Unaona kbs Unai emery alivyokuwa MJINGA
 
Yah katika makocha ambao wamehangaika na huu mfumo ukawashinda ni Unai aisee.

Kuna baadhi ya mifumo kama huu 4-3-1-2 lazima uwe na aina ya viungo kama Pirlo, Motta, Busquet, Vidal, Lampard, Gerrard nk ambao wana both attributes za offensive na defensive midfielders (box to box).

Unai emery kwangu ni moja ya makocha wa ovyo kuwahi kuwashuhudia ulimwenguni
 
Yah katika makocha ambao wamehangaika na huu mfumo ukawashinda ni Unai aisee.

Kuna baadhi ya mifumo kama huu 4-3-1-2 lazima uwe na aina ya viungo kama Pirlo, Motta, Busquet, Vidal, Lampard, Gerrard nk ambao wana both attributes za offensive na defensive midfielders (box to box).
Alienda Anfield na huu mfumo ,Diamond style , halafu hakuwahi kuwafundisha wachezaji kwenye preseason ,

Hadi Klopp nakumbuka alisema Huu mfumo hakuwahi kuona Arsenal wakiucheza hata preseason , na huo mfumo ulisababisha Zile fullbacks zao zipande sana

Yaani emery ndio maana namuona ni kocha wa ovyo kuwahi kumshuhudia,

Alikuwa hajui kwanza characters za wachezaji, alikuwa hajui huyu nikimuweka hapa atanipa Product flan sababu ya alichonacho

Ndio maana alikuwa anabahatisha , kila mech anakuja na mfumo mpya ,

Eti toreira anampeleka no.8 au 10 au box to box MD .
 
Back
Top Bottom