Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mesut Ozil hopes to be involved in Arsenal’s opener at Fulham. Arteta is resigned to Ozil seeing out the last year of his contract. [@standardsport]

Ozil hoping for Arsenal role in season opener after refusing transfer

Kama Ozil atacheza bas huenda tukatumia 4-2-3-1

Lineup prediction
EARLY-PREDICTED-ARSENAL-LINEUP-TO-FACE-FULHAM-1.jpg
 
Sky Sports News reporting that Arsenal are not willing to let Rob Holding leave at this stage.

Newcastle want the player on loan, as we know.
 
Sky Sports News reporting that Arsenal are not willing to let Rob Holding leave at this stage.

Newcastle want the player on loan, as we know.
Arteta kila mchezaji anataka kumretain, ana jambo gani msimu huu?
 
Arteta kila mchezaji anataka kumretain, ana jambo gani msimu huu?
Ah kaona hakuna haja ya mkopo kama wanamtaka kweli walete hela

Hivi vitimu vidogo navyo vinadharau ,

Mchezaji kama holding unamtaka kwa mkopo halafu muingereza , walete hela
 
Dani Ceballos:

"Kocha alikuwa wazi kuhusu mimi na akasema kwamba ikiwa ningejiweka sawa na kuendelea kufanya mazoezi kwa bidii, ningepata nafasi ya kurudi kwenye timu."

(wakati Arteta akichukua timu kwa mara ya kwanza)

"Nadhani amenifanya kuwa mchezaji bora zaidi katika miezi sita iliyopita."
IMG_20200907_173021.jpg
IMG_20200901_042755.jpg
 
Chris Kavanagh will be in charge of Arsenal's season opener against Fulham on Saturday. David Coote will be VAR.
IMG_20200907_180539.jpg
 
Mesut Ozil hopes to be involved in Arsenal’s opener at Fulham. Arteta is resigned to Ozil seeing out the last year of his contract. [@standardsport]

Ozil hoping for Arsenal role in season opener after refusing transfer

Kama Ozil atacheza bas huenda tukatumia 4-2-3-1

Lineup predictionView attachment 1561782
Kama Ozil akiwa 100% committed sioni Arsenal wakihangaika na Aouar msimu huu labda kwa next season wakati Ozil atakuwa free agent.

If that will be the case then Arsenal will be in pole position to complete the signing of Thomas Partey from ATM.
 
Kabisa mkuu, natamani sana kumuona Ozil mbele ya Partey na Xhaka, yaani sijui itakuaje!
 
Hapa full backs huwa wana advance kama wingers wakati team inashambulia kwa kuwa huu mfumo ( maarufu kama Christmas tree formation) huwa una retain two strikers wakati wote.

Hata hivyo mara nyingi wakati wa kushambulia huwa 4-3-1-2 ina switch kwenye diamond 4-4-2, hiyo 3 ni complete central midfielders ambao mmoja wao huwa anatoa cover kwa defenders na hiyo 1 anakuwa ni attacking midfielder mostly anacheza kwenye 3/4 ya opponent.
Wakuu naomba kuuliza hapa samahanini sana

Hiv kwenye huu mfumo hapo winga wa pembeni ni nani na nani??View attachment 1562083

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu, natamani sana kumuona Ozil mbele ya Partey na Xhaka, yaani sijui itakuaje!
Huyu Ozil akiamua kukiwasha kwa commitment ni balaa, yaani wapinzani watachakaa pale Epl hadi wajute.

Kwa maoni yangu tukiwa na Ceballos sioni kazi ya Aouar kwa msimu huu labda tuzungumzie tu umuhimu wa squad depth na kwa kuwa Ceballos ni wa mkopo.
 
Mikel Arteta makes late U-turn on the future of Rob Holding as he is now considering to keep Arsenal defender in transfer blow to Newcastle. [@AdrianJKajumba @MailSport]
 
Aston Villa have lodged a second bid for goalkeeper Emi Martinez. [@TheAthleticUK]
 
Back
Top Bottom