Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron wakati nakyaminia kwa taarifa mujarabu kuhusu Arsenal lakini deal la Auba limekuwa stale au overdue.. .
Walishamalizana , na hakuna mazungumzo tena, sijajua kwanini wanalivuta sana kulitangaza,

Tusubiri ,lkn 98% Auba anabaki , anaongeza miaka miwili ,jumla inakuwa mitatu
 
Red & white
IMG_20200909_220647.jpg
 
Wamefocus sana kwa Aouar, Partey ni kama wamemblacklist, anaweza kuongeza mkataba na Atletico ikawa kasheshe
 
Wakuu naomba kuuliza hapa samahanini sana

Hiv kwenye huu mfumo hapo winga wa pembeni ni nani na nani??View attachment 1562083

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakua hapo wapo viungo watatu chini ya vidal hao full back ndio watakua wings kwenye kushambulia huku hao viungo wakiongeza nguvu kwenye ukabaji

Mfumo mzuri sana kama utacheza soka la kushambulia kwa kushtukiza ila unahitaji uwe na wings wenye kasi kama Evra, Alba, Reguilon, Trent, Carvajal au Hakim.
 
From 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 || Arsenal are expecting a third bid from Aston Villa, for Emi Martínez, as they hold out for £20m [via - @TomCollomosse + @AdrianJKajumba].
 
According to the Mail, David Raya is prepared to hand in a transfer request to try and force through a move to #Arsenal. The Gunners have identified Brentford's Raya as a potential replacement for Martinez. https://t.co/EN8zl6dnoi
 
Kwakua hapo wapo viungo watatu chini ya vidal hao full back ndio watakua wings kwenye kushambulia huku hao viungo wakiongeza nguvu kwenye ukabaji

Mfumo mzuri sana kama utacheza soka la kushambulia kwa kushtukiza ila unahitaji uwe na wings wenye kasi kama Evra, Alba, Reguilon, Trent, Carvajal au Hakim.
Tulikuwa na ubishi kidogo mahali kwenye huo mfumo Pogba anacheza position gani hapo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have been told that Pierre-Emerick #Aubameyang WILL be at #Arsenal nest season WITH a new contract signed. It is going to be a 3 year deal with an option of a further year. Wages aren’t fully agreed yet but the region I’ve been told is between 350-450k a week.

Aubameyang kuwa mchezaji anayelipwa zaidi Arsenal. Kama Ozil, analipwa 350, je Auba atakuwa analipwa ngapi?

Nimsikie mtu anasema Arsenal haina pesa
 
Aubamayeng kulipwa £400k-450k per week

David Ornstein. ....

Anatarajiwa kutangazwa Leo
 
Tulikuwa na ubishi kidogo mahali kwenye huo mfumo Pogba anacheza position gani hapo???

Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba anacheza kama Central Midfield pia anacheza kama CAM position zote anacheza vizuri tambua ni box to box midfield. Ila hapo kwakua yupo mzee Pirlo ambaye anacheza kama CM so Pogba atacheza juu yake kama CAM.
 
Back
Top Bottom