Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Irrespective of David Luiz injury Mikel Arteta has made clear he wants Rob Holding as a centre-back option this season & the 24yo is now expected to stay at Arsenal rather than join Newcastle on loan. He’s also in line to start at Fulham on Saturday @TheAthleticUK #AFC #NUFC #FFC
 
Tukubaliane Ozil wa sasa si unayemsema wewe huyu keshajichokea mbona kuna players wazuri kwa sasa EPL kuliko Ozil??Ozil wa 2008 up to 2016 sio wa 2019 na kuendelea ameshashindikana anatakiwa aende China au USA akamalizie football na kuchukua hela za ziada kama tunataka competitive team Ozil hatakiwi kuwa sehemu ya 11 eleven Never

Issue ya Ozil iko very complicated, amegoma kuondoka hadi mkataba wake utakapoisha na analipwa mshahara mkubwa sana £350,000/= kwa wiki.

Sasa club inapata ugumu kusajili mtu mwingine wakati una 'mzigo' wa Ozil, kwa hiyo the best way ni kufanya liwezekanalo kumrudisha kwenye mood ya kuperform kitu ambacho binafsi naamini kinawezekana kama atakuwa willing.

Naamini pia kuwa huu ni msimu wake wa mwisho pale baada ya hapo atahitaji kwenda sehemu nyingine ambapo itategemea na kiwango chake msimu huu.

Hatanunuliwa kwa kuwa tu ni Ozil hivyo naye anahitaji kujituma, ndipo hapo ninapo amini kuwa bado anaweza kuleta manufaa akitumiwa.

Ozil bado hajachoka kwa maana ya viwango vya uchezaji, anahitaji tu kujengwa mentality yake aweze kudeliver. Mambo mengine tuyape muda tutakutana hapa tena kumjadili jinsi msimu unavyo endelea.
 
Irrespective of David Luiz injury Mikel Arteta has made clear he wants Rob Holding as a centre-back option this season & the 24yo is now expected to stay at Arsenal rather than join Newcastle on loan. He’s also in line to start at Fulham on Saturday @TheAthleticUK #AFC #NUFC #FFC
dah kwahiyo pale nyuma atakosekana mzee wa kazi katika kuongoza vijana ...maana waliobaki wote vijana Saliba,Rob,Gabriel,Hector,Tierney....shughuli bila wazee haiendi,Chelsea wamegundua makosa yao ya kumuuza Luiz na ndio maana wameamua kumchukua kikongwe Thiago
 
Issue ya Ozil iko very complicated, amegoma kuondoka hadi mkataba wake utakapoisha na analipwa mshahara mkubwa sana £350,000/= kwa wiki.

Sasa club inapata ugumu kusajili mtu mwingine wakati una 'mzigo' wa Ozil, kwa hiyo the best way ni kufanya liwezekanalo kumrudisha kwenye mood ya kuperform kitu ambacho binafsi naamini kinawezekana kama atakuwa willing.

Naamini pia kuwa huu ni msimu wake wa mwisho pale baada ya hapo atahitaji kwenda sehemu nyingine ambapo itategemea na kiwango chake msimu huu.

Hatanunuliwa kwa kuwa tu ni Ozil hivyo naye anahitaji kujituma, ndipo hapo ninapo amini kuwa bado anaweza kuleta manufaa akitumiwa.

Ozil bado hajachoka kwa maana ya viwango vya uchezaji, anahitaji tu kujengwa mentality yake aweze kudeliver. Mambo mengine tuyape muda tutakutana hapa tena kumjadili jinsi msimu unavyo endelea.
Problem ndo hyo anapokea mshahara mkubwa na hataki kuondoka Arsenal lets wait and see this season atafanya nini ila kwa timu ya sasa ya Arteta na uchezaji wa Ozil mhhhh naona ngumu sana kwake labda apambane
 
Issue ya Ozil iko very complicated, amegoma kuondoka hadi mkataba wake utakapoisha na analipwa mshahara mkubwa sana £350,000/= kwa wiki.

Sasa club inapata ugumu kusajili mtu mwingine wakati una 'mzigo' wa Ozil, kwa hiyo the best way ni kufanya liwezekanalo kumrudisha kwenye mood ya kuperform kitu ambacho binafsi naamini kinawezekana kama atakuwa willing.

Naamini pia kuwa huu ni msimu wake wa mwisho pale baada ya hapo atahitaji kwenda sehemu nyingine ambapo itategemea na kiwango chake msimu huu.

Hatanunuliwa kwa kuwa tu ni Ozil hivyo naye anahitaji kujituma, ndipo hapo ninapo amini kuwa bado anaweza kuleta manufaa akitumiwa.

Ozil bado hajachoka kwa maana ya viwango vya uchezaji, anahitaji tu kujengwa mentality yake aweze kudeliver. Mambo mengine tuyape muda tutakutana hapa tena kumjadili jinsi msimu unavyo endelea.
Huyu Ozil kiwango chake kinapanda na kushuka kama homa za vipindi! Ni mchezaji mzuri lakini hana consistency kwa sababu ya umri.. Inatakiwa tusajili halafu huyu awe back up.. Lakini kitendi cha kumtegemea huyu, tutajikuta tunafight sana kurudi top four
 
Ni kweli tungepata mchezaji mwingine ambaye na umri ni mdogo ingekuwa poa sana, nadhani bajeti ndio changamoto kubwa tunashindwa kuongeza mtu na Ozil akiwepo ndio maana inabidi tupambane naye hivyo hivyo tu.
 
Arsenal will go back in for Aouar & are still in talks with his agent

Sales may make the deal possible

If no offers come to Lyon in the coming weeks they may allow price negotiations with Arsenal who are keen

Currently the price stands firmly at €60m/£54.5M

[@FabrizioRomano]
 
Kwa sasa kama Arsenal wanategemea kuuza some players ili kupata pesa na nafasi ya huyu jamaa pale kwa sasa ni ngumu sana!

Maana mpaka sasa sajili zote zimegoma! hajatoka yeyote, nimemuona na Torreira akijumuika na wenzake kuonyesha hakuna progress juu ya uwezekano wa kuondoka..

So hapa tutegemee rumors kila siku.

Ninachojaribu kusema ni kwamba sio vibaya kuhusishwa kama hivyo, ila hata isipotokea transfer yeyote mpaka dirisha kufungwa basi sina wasiwasi kuwa timu yangu itafanya vyema msimu huu.

I believe the process!

#COYG
 
Ni kweli tungepata mchezaji mwingine ambaye na umri ni mdogo ingekuwa poa sana, nadhani bajeti ndio changamoto kubwa tunashindwa kuongeza mtu na Ozil akiwepo ndio maana inabidi tupambane naye hivyo hivyo tu.
Ni kweli bajeti ni finyu sana!.. Tukikosa mtu mwingine basi itabidi twende na Ozil
 
Pierre-Emerick Aubameyang has agreed a new three-year contract worth £250k-a-week with the club expected to make a long-awaited confirmation announcement in the next few days & could even be before their opening Premier League fixture against Fulham on Saturday. [@JamesOlley] https://t.co/7QKzC6Tb8Q
 
Kwa sasa kama Arsenal wanategemea kuuza some players ili kupata pesa na nafasi ya huyu jamaa pale kwa sasa ni ngumu sana!

Maana mpaka sasa sajili zote zimegoma! hajatoka yeyote, nimemuona na Torreira akijumuika na wenzake kuonyesha hakuna progress juu ya uwezekano wa kuondoka..

So hapa tutegemee rumors kila siku.

Ninachojaribu kusema ni kwamba sio vibaya kuhusishwa kama hivyo, ila hata isipotokea transfer yeyote mpaka dirisha kufungwa basi sina wasiwasi kuwa timu yangu itafanya vyema msimu huu.

I believe the process!

#COYG
Kujumuika haimaanishi hawauzwi

Kilichopo ni hiki , Arsenal hawataki kuuza mchezaji kwa bei ya kulazimishwa ila kwa bei wanayotaka wao

Mfano dili la Toreira anagombaniwa na vilabu viwili. ,mmoja alitaka mkopo mwingine bei haikutosha, Na bei waliyoiweka arsenal ni €30m

Kwa Bellerin. ..pia barca kaingia ,lkn Arsenal hawamuuzi kwa bei ya haraka kisa anahitaji hela ,

Sokratis ,Arsenal wanataka hela ,sio aondoke bure ,

Pia kwa Martinez , Arsenal waliweka bei Angalau ianzie £20m ,

Astonvilla wakatuma £10m ,Arsenal wakachomoa , now wametuma hiyo Euro million 20 , lkn Arsenal hawajajibu labda had wapate mbadala

Kwa Niles ,wolves walileta £15m+ 5adds ons ,Arsenal wakasema walete Angalau 25 ,

Mwisho Arteta akazuia asiuzwe

So ninachotaka kusema , Arsenal anawauza hao ,ila sio kwa bei za ajabu ,Bali wanazotaka wao ,

Mazoez wanafanya , hata Aouar ameanza mazoez kule Lyon , lkn msimu huu atauzwa.

Ninachokiona kuna hawa wafutao

Martinez 20

Bellerin 30

Toreira 27

Sokratis 5

Kolasinac 10-15

Ukiangalia hapo Arsenal watapata karibu £80m hii inatosha kabisa kuwaleta Partey na Aouar huku wage bills ikiwa imepunguzwa kwa kiasi kikubwa ,

Maana hapa mshahara wa kolasinac na Bellerin. ,unawalipa Partey na Aouar na chenji inabaki
 
#PSG are back in for Arsenal midfielder Matteo Guendouzi, according to L'Equipe.

Arsenal had hoped for €35m, but they're unlikely to get that.

PSG hope to include Draxler in any deal.

#AFC
 
Pierre-Emerick Aubameyang has agreed a new three-year contract worth £250k-a-week with the club expected to make a long-awaited confirmation announcement in the next few days & could even be before their opening Premier League fixture against Fulham on Saturday. [@JamesOlley] https://t.co/7QKzC6Tb8Q
Aaron wakati nakyaminia kwa taarifa mujarabu kuhusu Arsenal lakini deal la Auba limekuwa stale au overdue.. .
 
EhQe4qbXgAERRnI.png

Still dreaming ...
 
Back
Top Bottom