Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Sagnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
jamaa kawa mvivu sana.
Sagnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Wamelipiza what a goal from them hii defence hakuna kitu hapa
wanaweza RUDI hawa.....................I hate THIS!!!!!!!!! Why cant we keep a CLEANSHEET to such underdogs?????????????????????????
Mkuu pale huwezi kuilamu beki manake wote walikuwa golini kujaribu kuokoa shambulizi la mwanzo shuti kama lile noma.
Ilikuwa kali ile nakubali dawa ni kuongeaza jingine tu hapa
jamaa wametujibu kwa bonge la goli.
Yule mzee huwa ni very slow kufanya maamuzi utashangaa anamuingiza bado tano!Haya sasa kipindi cha pili.Wenger angemtoa bendtner na ku,leta walcott naona kule Winger wanatupa nafasi ya kutosha walcott anaweza kuwa mwiba kwao.