Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo tuna mech ya kirafiki na kina Samatta
IMG_20200905_131217.jpg
 
Thomas Partey will ‘definitely’ be wearing an Arsenal shirt this summer. [@TheAFCBeII] #afc
 
Arsenal play Aston Villa in a friendly this afternoon.

With Bernd Leno away with the German National team, it’s another chance for Emi Martinez to make his case for the number one spot.
 
“I’m very pleased to be back with Arsenal - I’m very happy to have come back to a club where I feel important."

- Dani Ceballos
IMG_20200905_141014.jpg
 
It’s been 15 hours since we resigned Ceballos

Arsenal have already removed their pinned tweet

@Aubameyang7
 
Arteta's Arsenal 3-4-3 low block to high press feat. Eddie Nketiah, second choice to Bamford at Leeds last season, now doing this to Liverpool #Arteta #ARSLIV #CommunityShield

Mambo vipi Gunners? Kila la kheri msimu huu. Tuenjoy mpira kama burudani zingine tu na tusikubali kukwazwa na vijishabiki vya vijitimu vya hovyo vya London wala Manchester. Waache waone wenyewe tukishine waendelee kununa na kupiga ramli. Msimu ulioisha haukuwa mzuri ingawa pia tulibahatika kubadili mwalimu hivyo ni jambo la kushukuru, Msimu huu naona utakuwa mzuri kuliko uliopita na kwa sasa hicho ndicho tunachohitaji.
 
Umesema jambo la Muhimu sana Ndugu

Tayari Mwalimu Arteta na Edu ndio wenye mamlaka ya kuleta mchezaji wa mtakae ,

Kabla ya dirisha kufungwa tutaongeza kiungo mwingine , ukijumlisha na Uwezo wa mwalimu , hakika Tutakuwa tofauti kabisa

Hadi sasa Klabu inapambana kumpata Aouar na Partey ,au mmoja wapo

Uwepo wa Willian ,Auba ,Pepe ,xhaka na backline ambayo imeimarika ni dhahiri tutakuwa vzr tu

Arteta amesema lengo sio kupigania top 4 ,Bali kupigania mataji tu
 
Kabisa. Akiendelea kuimarisha team na kushinda mechi nasi tutazidi kupanda juu. Kwa sasa inaonekana midfield ndilo enelo la kuimarisha na wanaonesha nia ya kutaka kuimarisha. Attack iko vizuri tuombe iwe vizuri zaidi. Tunahitaji magoli zaidi kutoka kwa akina Pepe na Laca, hata kutoka midfield na defense ili Auba apunguziwe presha. Defense ikiimarika tukawa wagumu kufunga timu zitapaki basi. Hapo sasa pia naomba iwe hivyo tuongeze ubunifu tuione tena ile Wengerball ya enzi za kina Pires, ingawa itakuwa Artetaball. Watu wapate burudani, siyo kama enzi za Emery hata timu ikishinda watu bado wananuna kwa sababu game iliboa.
 
Kabisa. Akiendelea kuimarisha team na kushinda mechi nasi tutazidi kupanda juu. Kwa sasa inaonekana midfield ndilo enelo la kuimarisha na wanaonesha nia ya kutaka kuimarisha. Attack iko vizuri tuombe iwe vizuri zaidi. Tunahitaji magoli zaidi kutoka kwa akina Pepe na Laca, hata kutoka midfield na defense ili Auba apunguziwe presha. Defense ikiimarika tukawa wagumu kufunga timu zitapaki basi. Hapo sasa pia naomba iwe hivyo tuongeze ubunifu tuione tena ile Wengerball ya enzi za kina Pires, ingawa itakuwa Artetaball. Watu wapate burudani, siyo kama enzi za Emery hata timu ikishinda watu bado kwa sababu game iliboa.
Uzuri ninachompendea Arteta timu kupiga mpira mzuri itapiga , refer Mech na mancity pass 18 had goli kuanzia kwa kipa ,

Pia swala la kudefend analiweza kitu ambacho ni kipya kwa Arsenal miaka yote ,

Kuna mechi ukishinda unatakiwa kufunga duka , hii kaz Arteta anaiweza

Hapa imebaki kuimarisha eneo la kiungo kupata ubunifu

Uwepo wa Pivot ya xhaka Ceballos juu yao acheze Aouar au willian

Au Xhaka Partey juu acheze Willian au Aouar

Katika mfumo wa 4-3-3 anaouhitaji sana Arteta ,amekuwa akiusema sana

Kule mbele sina hofu, Uwepo wa Auba laca pepe

Kukiwa na huduma bora ya viungo kutakuwa na magoli mengi sana

Tusimsahau willian anaweza kucheza kwa Pepe RW , na akatengeneza flow kali wakiwa na Auba .

Cha muhimu tuwe wavumilivu , Wakamilishe usajiri wa hawa viungo , timu itakuwa imekamilika

Tunahitaji hao wachezaji wawili tu maana wana Quality , sio kujaza Average players kibao
 
Confirmed: Bernd Leno will start for Germany against Switzerland tomorrow, captained by Xhaka.
 
Jana Danny Ballard miaka 20 alicheza game ya kwanza national team. Leo, golikipa Karl Jacob Hein miaka 18 anaanza golini katika mechi ambayo timu yake ya taifa inacheza.

Nice achievement for the academy boys
IMG_20200905_180913.jpg
 
Back
Top Bottom