Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Maana yake nini?He drinks estrella, he eats paellaaaa!!View attachment 1559066
Maana yake nini?He drinks estrella, he eats paellaaaa!!View attachment 1559066



Ni wimbo ,Dani ceballos alitungiwa na mashabiki wa ArsenalMaana yake nini?
AhaaNi wimbo ,Dani ceballos alitungiwa na mashabiki wa Arsenal
"Dani Ceballos,
Dani Ceballos,
He drinks Estrella, he eats paella,
The boys fucking magic."
Estrella ni kinywaji/beer ya huko barcelona /Spain
Paella ni wali wa kispania
Angalia picha hapa chini View attachment 1559105View attachment 1559106
." 






Ndio maana anaipenda sana Arsenal , unadhan sio loanAhaa
Ingekua wanamuimbia Samatta wangesema;Ni wimbo ,Dani ceballos alitungiwa na mashabiki wa Arsenal
"Dani Ceballos,
Dani Ceballos,
He drinks Estrella, he eats paella,
The boys fucking magic."
Estrella ni kinywaji/beer ya huko barcelona /Spain
Paella ni wali wa kispania
Angalia picha hapa chini View attachment 1559105View attachment 1559106
Hahaaa dah, nimecheka sanaaIngekua wanamuimbia Samatta wangesema;
He drinks mbegee and eats ugali





Post ya Jul, 16, 2019Msimu huu mjiandae nafasi ya 10 , forward jirudi , winger pulisiki teh teh teh






mkabeni kwanza huyo mmojaHivi Arse8 niwaulize, ukimtoa auba (msaliti) nani mwingine ana potential ya kufunga magoli? Maana hata fainal ya FA na CS ni Auba pekee ndo alitupia..amuoni mna mtu mmoja tu wa kutegemea kutupia!?
Angalau Chelsea tuna Timo, tuna Kai, Pulisic..
Mtajuta huu msimu. Mtapoteana umu...
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unai aliwaletea uyu mchezaji leo mna mdharau.."I don't want to speak about the names, but Ceballos is a very good player."
- Unai Emery View attachment 1155627
Ni juu yako kukariri watakaokupiga goli. Sisi ni kuutazama ubao unasomaje.Hivi Arse8 niwaulize, ukimtoa auba (msaliti) nani mwingine ana potential ya kufunga magoli? Maana hata fainal ya FA na CS ni Auba pekee ndo alitupia..amuoni mna mtu mmoja tu wa kutegemea kutupia!?
Angalau Chelsea tuna Timo, tuna Kai, Pulisic..
Mtajuta huu msimu. Mtapoteana umu...
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ngoja msimu uanze, anaweza akawa beki pia.mkabeni kwanza huyo mmoja
kama mnamshindwa mwengine wa nini ?



Hahaha natarajia desemba mutabaki watano au wanne hivi umu jukwaani, wengi watakuwa wamejibipiga ban..Ni juu yako kukariri watakaokupiga goli. Sisi ni kuutazama ubao unasomaje.
Ona huyu kaja na huku! Em tuliza hiyo chupi ya buluu wewe..Hivi Arse8 niwaulize, ukimtoa auba (msaliti) nani mwingine ana potential ya kufunga magoli? Maana hata fainal ya FA na CS ni Auba pekee ndo alitupia..amuoni mna mtu mmoja tu wa kutegemea kutupia!?
Angalau Chelsea tuna Timo, tuna Kai, Pulisic..
Mtajuta huu msimu. Mtapoteana umu...
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nikutoe wasiwasi tu.Hahaha natarajia desemba mutabaki watano au wanne hivi umu jukwaani, wengi watakuwa wamejibipiga ban..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app







