Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nikutoe wasiwasi tu.

Ligi naanza kuiongoza mimi kuanzia gameweek 1 maana siwezi kumuacha Fulham, timu iliyopita kwa bahati kwa Play-off. Na game yetu ndio ya kwanza, namnyonga mtu mapema 14:30.

Kitendo cha kumuacha Arteta aongoze pale juu basi ni msiba kwenu

Nyie chupi za buluu nitakuwa nawaangalia kwenye nafasi ya 6 mkiwa mnapambana na Sheffield.
Hahaha hichi kiburi mlichonacho ni kwa sababu ligi haijaanza na munaongoza. Ngoja ligi iyanze sasa

#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sisi tulitumia watoto wa Academy msimu uliopita na tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ninyi mkasajili tena kwa pesa za mafungu mafungu mkaishia nafasi ya nane huko hamko siriyazi mazee

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Na wachezaji hao hao wa mafungu tunachukua ndoo 2 na wewe ukabaki hauna kitu na kombe moja nikachukua mbele yako.
tapatalk_1598697785971.jpg
tapatalk_1598735840900.jpg
 
Hahahahaha dah hizi dharau sasa

Enewei ..Hii timu ni ile ile hakuna kipya msitegemee yeyote mapya kutokea msimu uu mpya.

Kushinda fainal ya FA na CS hata Wigan au QPR wanaweza kushinda.

#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mh kwa hiyo unasema jinsi mlivyo wabovu hata QPR wangewatoboa. Mbona mmeoza kiasi hiki?
 
Nendeni PM hapa ni platform ya wastaarabu watu Rika Tofauti, sasa mnaleta mambo ya ajabu sana ndugu zangu


Mambo yasiyo husiana kbs na MPIRA

kama sio mstaarabu mripotini kwa MODS sio kujibizana nae kwa Ujinga kama yeye
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom