Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Douglas Luiz and Jacob Ramsey (2) with the #AVFC goals.
Ngoja tuone kupigania kwakwe namba kumtasaidiaKwanini tunamsahau Elneny?
Ile performance yake fainali ya Community Shield ilikua kubwa sana kwa mtu ambaye alikua nje kwa kipindi chote kile.
This guy atauwasha moto na atajipatia namba tofauti na wengi tunavyompita juu juu. Yeye na Xhaka walibalansi midfield siku ile, sioni nini kitamshinda kuibalansi tena.
Subiri uone.

@Aaron text ilkuwa inakuhusu ww hii mzee.Chief una jersey za kike size medium?
Za kike Arsenal hawajatoa aisee ,Chief una jersey za kike size medium?
Nimeiona kaka nimekujibu hapo juu@Aaron text ilkuwa inakuhusu ww hii mzee.
Poapoa mzee ngoja niliwasilishe kwa mama nyangerekela kama atakubali hizhiz za kiume then tutafanya biashara.Za kike Arsenal hawajatoa aisee ,
Huku wanawake wananunua hizi hizi za kiume ,
Liverpool za wanawake ndio zipo
Mfano huyu hawa hapa View attachment 1559860View attachment 1559861
Sawa ndugu yanguPoapoa mzee ngoja niliwasilishe kwa mama nyangerekela kama atakubali hizhiz za kiume then tutafanya biashara.
Shida huwa nini stress? ama? yani unaingia Thread ya timu ingine kutukana?Mwenzio kala ban ,Bado wewe ,subiri tutakufurahisha

Nadhan ni stress za maisha ,au utoto unawasumbuaShida huwa nini stress? ama? yani unaingia Thread ya timu ingine kutukana?
i can understand kuwazingua, kuwakatisha tamaa, kuwatania ndo ushabiki
ila kutukana?![]()
Nendeni PM hapa ni platform ya wastaarabu watu Rika Tofauti, sasa mnaleta mambo ya ajabu sana ndugu zangu
Mambo yasiyo husiana kbs na MPIRA
kama sio mstaarabu mripotini kwa MODS sio kujibizana nae kwa Ujinga kama yeye


