Samatta apambane sana msimu huu ,Astonvilla hawataki kushuka darajaLeo Samatta ana nafasi ya kuifunga Arsenal, tumwachie goli moja hamna kesi. Ila msimu ukianza na uzalendo nao unaisha. Tukimkuta Villa ni kumfunga tu na wasipate hata goli. Samatta tutamsupport akicheza na timu zingine 😀
Samatta apambane sana msimu huu ,Astonvilla hawataki kushuka daraja
Sidhan kama.atapata timu zaid ya villa , alihusishwa kwenda garatasalayHofu yangu ni atakosa namba pale wakamuondoa. Anahitaji kujiboresha ahamie timu bora zaidi.
Naona mods wamempiga ban, wampige ya maisha ,iwe fundishonimemripot so yuko Under suveillance
Mawasiliono muhimu au 2takuptje?Jezi Mpya Ya #Arsenal Ya GoalKeeper 2020/21) Inapatikana pia
Bei; TZS 25,000
Size; S,M,L,XL, XXL
View attachment 1559765
Nakuja PMMawasiliono muhimu au 2takuptje?
Ok pia waambie moderator kwenye community shield inatakiwa jumla iwe 16 na waongeze mwaka 2020.nimemripot so yuko Under suveillance