Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Napendaga zile interview za edu anazofanyaga baada ya usajili.


Siku zote anatupa clue ya kitu


Leo kasema ' list of quality players we are bringing in."
 
Napendaga zile interview za edu anazofanyaga baada ya usajili.


Siku zote anatupa clue ya kitu


Leo kasema ' list of quality players we are bringing in."
Sema Edu kiingereza chake sio kizuri sana.

Mimi namkubali yule Vinai, akiongea ni lazima utapenda.
Watu kama wale wanafaa sana kuwa viongozi.
 
Kepa hata Nottingham forest hapati namba. Kwani si yeye mwenyewe kaomba kujiuzulu kwa kiwango chake kibovu?

Jamani msiite mods. Naswitch
Tukikutana na ninyi, uyo Auba atakuwa beki ..thna Kai, Timo na Ziyech ..utatu mtakatifu..ntakula nane zileeeeeee

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
unaanza kuwa kama wao.....zamani kwenye Hii Thread kulikuwa na ustaarabu sana

kabla miaka ya kufulia kwa wenger tulikuwa tunataniana bila shida hapa mambo ya matak*""* mnayatoa wapi?

by the way Wacha1 yupo?
Kama wao akina nani? Acheni kutumia ligha za ajabu ajabu ..mkiitwa gaygoooners mna mind

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Point uliyoongea hapo mechi 77-65=12 hesabu mechi 10 napunguza gap mechi 7 namaanisha nakufunga zote pengine hizo zilizobaki unaweza toa draw kwa sababu toka 2010 tumekutana mara 30 sisi tumeshinda mara 13, nyie mmeshinda mara 10 draw zilikua 7

Makombe 48-35=13 hapo unajua mwenyewe nini kitafuata ndani ya muongo mmoja ujao tunazidi kupunguza gap kwa sababu toka 2010 nimeshinda makombe 10 wewe umeshinda 5 unataka nikwambie nini unachohofia kwa Chelsea ndani ya miaka 10 ijayo? Mshaanza kuelewa wenyewe.

The rest ulichoandika huko chini ni ushabiki tu. Hili swali jiulizeni na mjijibu wenyewe timu bora kwa sasa ni ipi? Majibu bakini nayo wenyewe. Ukweli unaumwa nyie acheni tu.

London will always be blue
Hahaha yani mkuu acha tu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hii timu huwaga inanifurahishaga tu yani haina mipango utadhani ya mchangani
 
Screenshot_20200905-051320.png
ligi imeanza vizuri kwa aseanal kukaa kileleni kabla ya ligi kuanza tumeshachukua ubingwa sisi kama aseanal
 
Arteta on Ceballos:


“Dani was an integral part of our team and finished last season in excellent form. I love Dani’s passion and commitment and he’s a highly skilful player. We’re all delighted to welcome him back.”
 
Cătălin Cîrjan, highly rated 17 y/o Romanian midfielder also trained with the first team.
IMG_20200905_082407.jpg
 
Lucas Torreira to Fiorentina

Reports from Italy yesterday said that this deal was basically done. Agreement between the two clubs, agreement between Torreira and Fiorentina, agreement between Torreira’s agent and everyone, agreement on price, wages, where he’s going to live, how he’s gonna look in purple, and who is going to pick him up from the airport.
 
Lucas Torreira to Fiorentina

Reports from Italy yesterday said that this deal was basically done. Agreement between the two clubs, agreement between Torreira and Fiorentina, agreement between Torreira’s agent and everyone, agreement on price, wages, where he’s going to live, how he’s gonna look in purple, and who is going to pick him up from the airport.
Kuondoka kwa toreira ,Smith Rowe , kunaacha gepu la kuongeza kiungo mwingine
 
Ceballos:


"The fans repaid me (for giving 100%) by showing me a lot of love. When I was at home they were sending me messages asking me to come back and saying that they needed me here. I feel proud that the club, the coach and – most importantly – the fans wanted me to stay."
 
Edu:


"We’re excited to add Dani to the list of quality players we ARE bringing in.” #afc
 
Back
Top Bottom