Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Photo: Pépé, Lacazette, Saliba and Aubameyang in training today.

#em26 Hahaha sisi kabla ya iyo 2003 tulishabeba European Cups sasa jiulize ninyi mulikuwa wapi wakati huo kama ni timu kubwa.Angalia hapa.
Katika mara zote Arsenal na Chelsea zilipokutana Arsenal imeshinda mara 77 na Chelsea wameshinda mara 65.
Mara ya mwisho kukutana Arsenal ilishinda 2 kwa 1 na Arsenal ikachukua kombe la FA.
Ushindi mkubwa kabisa ulikua 1930 ambapo Arsenal alishinda 5 - 1 hilo deni lilikaa kwa miaka 84 mpaka Chelsea alipoifunga Arsenal 6.
Overall trophies Arsenal ina vikombe 48 wakati Chelsea wana vikombe 35.
Kiukweli kabisa rival mkubwa wa Arsenal ni Tottenham kisha anafuata Man U halafu ndiyo Chelsea.
Ndiyo maana mchezaji anaweza kwenda Man U au Chelsea ila inakua ngumu kwa Tottenham.
Kwahiyo Chelsea haina umuhimu kwa Arsenal, kabla ya 2003 umewahi kusikia timu inaitwa Chelsea? Arsenal imemanage kwenda UCL, kuitembezea kipigo Chelsea, kujiongezea trophies na huku ikiwa inajenga uwanja bila kununua wachezaji wa bei kubwa kama Chelsea walivyokua wakifanya.
Pia nimesahau, Chelsea haina uwanja nyinyi ni kama Yanga au Simba.
Sasa unaibeba London gani mzee? Ya Kinondoni?




Siyo utopolo ninyi mnalilia uking wakati makings tupo tumetulia na dunia inajua kabisa London is BlueHaka kawimbo ka~Ndani ya Miaka 10 mtakiacha lini? Hivi hamuoni aibu kwa timu iliyoanzishwa kabla ya vita ya dunia kuongea huo utopolo daily![]()





Hahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni PepeWewe unaongelea stori za miaka 10 ambayo hiyo miaka Arsenal alikua ana mtu anaitwa Frimpong, Djourou na vipaji vya academy na watoto wengine wa bei cheap.
Mfano kwa msimu huu tu tayari mmetumia paundi 143M na mnaendelea kutumia. Tukipiga hesabu za hiyo miaka 10 ambayo Mourinho alikua anamnunulisha Roman wachezaji tutafika pesa ngapi?
In 10 years mchezaji wa bei kubwa Arsenal ni Pepe, kwa paundi 72M wakati hiyo nyinyi mmeilipa kwa Kepa.
Kapazia ambako ungenunua kwa 1700 Karume. Kama unapajua Karume lakini.







Mlilipa yote au kwa mafungu mkuu.Unajua Auba na laca tuliwanunua ndan ya miez 12 kwa £100m ?
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Mbona Ozil mna mzeesha bureHatimaye Arsenal wameanza kuachia picha za mazoeziView attachment 1557751View attachment 1557753


au na mshaara mnampa kwa mafungu..


Good ebeningKila mechi mfumo mpya,
kwenye press zake anakwambia "we need time to play in our way, so far we are doing fine, hapo ana mwaka na zaidi
Wewe pambana uwakute Kimafanikio Arsenal Ledies kwanzaHahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni Pepe
Sasa wewe na AstonVilla mna tofauti gani.
Sisi ndo tunafanya mvimbe apo London, maana mkitufunga(kama juzi) basi ni khabar ya dunia. Maana mmefunga timu kubwa.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kepa hata Nottingham forest hapati namba. Kwani si yeye mwenyewe kaomba kujiuzulu kwa kiwango chake kibovu?Hahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni Pepe
Sasa wewe na AstonVilla mna tofauti gani.
Sisi ndo tunafanya mvimbe apo London, maana mkitufunga(kama juzi) basi ni khabar ya dunia. Maana mmefunga timu kubwa.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kabla ya 2003 mlibeba European cup. Kikombe cha chai au cha uji?Hahaha sisi kabla ya iyo 2003 tulishabeba European Cups sasa jiulize ninyi mulikuwa wapi wakati huo kama ni timu kubwa.
Angalia hawa ..kama wangebaki apo arsenal vikombe kama hivi wangesikia kwetu tuView attachment 1557817
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unapoambiwa Chelsea ni klabu iliyoanzishwa 2005 usiwe mbishi kijanaSiyo utopolo ninyi mnalilia uking wakati makings tupo tumetulia na dunia inajua kabisa London is Blue
There is no London without Chelsea..
We're Pride of London. #CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yaani tuvimbe kuwafunga nyie ?Hahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni Pepe
Sasa wewe na AstonVilla mna tofauti gani.
Sisi ndo tunafanya mvimbe apo London, maana mkitufunga(kama juzi) basi ni khabar ya dunia. Maana mmefunga timu kubwa.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
YahYaani tuvimbe kuwafunga nyie ?
Kafatilie head to head hapo EPL anayetuzid ni Man u na Liverpool tu,
Wengine wote kuanzia London yote ni wake zetu




