Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

unaanza kuwa kama wao.....zamani kwenye Hii Thread kulikuwa na ustaarabu sana

kabla miaka ya kufulia kwa wenger tulikuwa tunataniana bila shida hapa mambo ya matak*""* mnayatoa wapi?

by the way Wacha1 yupo?
Kashengo habari za masiku mkuu? Tupo tunanyatia nyatia ... ... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Eddie Nketiah anaweka hat-trick ndani ya dk 9 kwenye mechi ya England U21.

Huyu dogo ni wa motoView attachment 1558739
Nketiah finisher mzuri sana ,
IMG_20200904_220302.jpg
 
.@FabrizioRomano on Thomas Partey:

"Atletico have a philosophy - if you pay the release clause, they can leave. Thomas is a top player. I would spend €50m to sign him. Top top player. I hope Arsenal will go for him. They need him. Atletico are convinced he will stay."
 
.@FabrizioRomano on Houssem Aouar:

"They are absolutely interested. Monitoring the situation. Nothing advanced. He's a top player. They have spoken with his agent. Again - they need to sell. Nothing less than €60m. He'd be one of the best signings this window."
 
.@FabrizioRomano on Hector Bellerin:

"There are possibilities. PSG is in talks with the agent and with Arsenal. No official bid - it may come in the next days. PSG need a RB - PSG think he needs a change and a new chapter. We'll see if PSG pay. He's their no.1 target."
 
.@FabrizioRomano on Dani Ceballos:

"He's coming. Don't worry. Agreement reached. Arsenal fans should be really happy. He had many proposals but Ceballos always wanted to go back to Arsenal. Arteta was so important. It's a matter of time."
 
.@FabrizioRomano on Matteo Guendouzi:

"In this summer, no club will pay €40 for him. He's a great player."
 
.@FabrizioRomano on Edu:

"I like the way he is working so much. He's a top director. I'm happy for Arsenal - they have Edu and Arteta. They are moving forward. They have a project."
 
Sanchez: Nilitaka kuondoka Man Utd na kurudi Arsenal baada ya kufanya mazoezi siku ya kwanza.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Chile, Alexis Sanchez amekiri kuwa alitaka kuondoka Manchester United na kurudi Arsenal baada ya kufanya mazoezi siku yake ya kwanza tu na Mashetani Wekundu.

"Baada ya kufanya mazoezi yangu ya kwanza kabisa niligundua vitu vingi, nilirudi nyumbani na kuiomba familia yangu na meneja wangu ikiwa naweza kuvunja mkataba na kurudi Arsenal, hapakuwa sehemu sahihi, lakini nilikuwa tayari nimesaini," amesema Sanchez.

Akizungumzia wakati wake huko Manchester kupitia video iliyopostiwa kwenye Instagram yake, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 anadai alifahamu haraka sana kwamba hatafurahiya maisha yake ndani ya klabu na aligundua kukosekana kwa umoja ndani ya kikosi cha United kilichokuwa kikinolewa na Jose Mourinho .

"Baada ya mazoezi ya siku ya kwanza tu niligundua vitu vingi, nilirudi nyumbani na kuuliza familia yangu na meneja wangu ikiwa siwezi kuvunja mkataba na kurudi Arsenal, kitu hakikunitoshea, lakini nilikuwa tayari nimesaini," Sanchez alisema.

"Miezi ilipita na niliendelea kuhisi hivyo hivyo. Hatukuwa na umoja kama timu kwa wakati huo.

"Waandishi pia walizungumza bila kujua na iliniumiza. Wachezaji wa zamani pia walizungumza na hawakujua ni nini kilikuwa kinaendelea ndani ya klabu. Na waliniumiza.

"Mchezaji pia anategemea mazingira ya ndani ya klabu, tunahitaji kuwa kama familia moja. Hatukuwa hivyo, na ilionekana hadi uwanjani. Ikiwa mtu alikosea, walinilaumu mimi.

"Ninajilaumu mwenyewe na nilipaswa kucheza vizuri zaidi. Lakini nilikuwa nikilaumiwa kila wakati, hata ikiwa nilicheza kwa dakika chache."

Itakumbukwa Sanchez alicheza game 45 kwa Mashetani Wekundu, akifunga mabao matano tu na kutoa assits tisa, takwimu ambazo zilikuwa chini sana ukilinganisha na mabao 80 aliyofunga kwenye michezo 166 na Gunners.
 
Karma is...
 
Acha ni-dedicate nyimbo ya Rich Mavoko- IBAKI STORY imuendee Alexis Sanchez popote alipo!
 
Arteta on Ceballos returning on loan:

"Dani was and integral part of our team last season and finished the season in excellent form. I love Dani’s passion and commitment and he’s a highly skilful player. We’re all delighted to welcome him back." #afc
IMG_20200904_234236.jpg
 
Edu:

“We’re thrilled to have Dani back with us for the new season. We’re excited to add Dani to the list of quality players we are bringing in.''
 
Back
Top Bottom