Hahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni Pepe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe na AstonVilla mna tofauti gani.
Sisi ndo tunafanya mvimbe apo London, maana mkitufunga(kama juzi) basi ni khabar ya dunia. Maana mmefunga timu kubwa.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using
JamiiForums mobile app