14Henry
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 299
- 370
Angalia uyu naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua ukweli hampendi kuusikia ila tupe miaka mitatu utajionea mwenyewe. Hizo maniaje sijui champions league sijui premier league na mazaga mingine tunaizoa yote bablai 😃😃