Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hajakataa Arsenal, kakataa ofa za timu nyingine tatuSasa mbona amekataa halafu wanasema anarudi?
Kumbuka Madrid walimrudisha ili wamuuze ,
Moja ya waliomuhitaji kwa kumnunua kabisa ni Ac Milan, na timu ya kijijini kwao Real Betis
Mwisho Arteta kamshawishi , Anarud kwa mkopo tena
Nilisema hapa Arteta amesema anataka kupambania mataji ,ni dhahiri hatutaenda na viungo hawa hawa
Toreira ,Gunduz wanauzwa ,Hapo Lazima tutaongeza Watu zaidi


️
#AFC #Arsenal #Real