Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dan cebayos under Arteta
IMG_20200901_042755.jpg
 
The signing of Dani Ceballos does not stop the ‘probable’ arrival of Thomas Partey. Arsenal are still in advanced negotiations with Partey & Atletico Madrid. [@Patrick_Juan7] #afc
 
Ulivyofika muda wa penati Nelson akamfuata Arteta akasema "Nitaanza mimi" Arteta akamkubalia. Nelson anasema 2017 wakiwa stage ya matuta alimuomba Wenger apige penati lakini Wenger alikataa, kipindi kile Nelson alikua na miaka 17.

Jana kufungua dimba ilikua ni yeye akikumbukia tukio la nyuma na ambacho angeweza kufanya.

Penati kali ilikua ya Niles hata hivyo.
Hata ya auba
 
Arsenal are planning to announce soon the ‘coming back’ of Dani Ceballos after he turned down three loan bids [from Italy and Spain]. “Only Arsenal” was his answer. Simple loan from Real Madrid. Contracts signed for Gabriel - no problem, it’s 100% done. #AFC #Arsenal #RealView attachment 1554933
Ceballos amebadilisha picha Ig katoa ambayo amevaa jezi ya Arsenal. Pia ameandika yeye ni mchezaji wa Madrid.
 
Kwahiyo harudi Arsenal?
Ni majaliwa. Zidane alisema anarudisha wengi waliotoka kwa mkopo, huyu ni mmoja wao. Wiki baada ya ile kauli Dani akabadilisha bio Ig na picha. Hapo alikua ametoka kusema "See you soon" kwa Nketiah (au Willock sikumbuki vizuri) ambayo it was a bigger sign that he is gon come back. Baada ya kauli ya Zidane na yeye kubadilisha Ig page yake ndiyo tunasubiri hayo majaliwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20200901-082812_Instagram.jpg
    Screenshot_20200901-082812_Instagram.jpg
    92.8 KB · Views: 3
Ni majaliwa. Zidane alisema anarudisha wengi waliotoka kwa mkopo, huyu ni mmoja wao. Wiki baada ya ile kauli Dani akabadilisha bio Ig na picha. Hapo alikua ametoka kusema "See you soon" kwa Nketiah (au Willock sikumbuki vizuri) ambayo it was a bigger sign that he is gon come back. Baada ya kauli ya Zidane na yeye kubadilisha Ig page yake ndiyo tunasubiri hayo majaliwa.
Nadhani alikosea, yeye bado ni mchezaji Real Madrid, ilikuwa ni unproffesional kujionyesha ki-Arsenal
 
Ceballos amebadilisha picha Ig katoa ambayo amevaa jezi ya Arsenal. Pia ameandika yeye ni mchezaji wa Madrid.
Sasa bro wewe hujui kuwa yule ni mchezaji wa Madrid na sio Arsenal!.. Ile picha ingemharibia maana angeonyesha hana mapenzi na timu.. Hebu fikiri kwa mfano Mo Elneny amerudi toka mkoponi halafu mpaka sasa awe anaonekana ana jezi ya alikotoka unadhani tutamuelewa?
 
Ni majaliwa. Zidane alisema anarudisha wengi waliotoka kwa mkopo, huyu ni mmoja wao. Wiki baada ya ile kauli Dani akabadilisha bio Ig na picha. Hapo alikua ametoka kusema "See you soon" kwa Nketiah (au Willock sikumbuki vizuri) ambayo it was a bigger sign that he is gon come back. Baada ya kauli ya Zidane na yeye kubadilisha Ig page yake ndiyo tunasubiri hayo majaliwa.
Bado ni mchezaji wa Madrid ,

Tayari kasharudi Arsenal ,nadhan Leo watamtambulisha

Soma hapa kwa Fabrizio

As reported elsewhere, Arsenal are close to landing Dani Ceballos on loan for another season from Madrid - Talks have progressed well in last couple of days.

Full story

Arsenal close in on Ceballos after breakthrough in Madrid talks | Goal.com
 
Mimi sijui si unajua sijui kiingereza.
 
Bado ni mchezaji wa Madrid ,

Tayari kasharudi Arsenal ,nadhan Leo watamtambulisha

Soma hapa kwa Fabrizio

As reported elsewhere, Arsenal are close to landing Dani Ceballos on loan for another season from Madrid - Talks have progressed well in last couple of days.

Full story

Arsenal close in on Ceballos after breakthrough in Madrid talks | Goal.com
Kwa sasa hivi yeye kuja pale ni uamuzi wa Madrid zaidi as yeye binafsi kamwambia Arteta kua anataka kurudi. Arteta kasema wamekubaliana hivyo ila inabidi wasubiri maamuzi ya Madrid.
 
@Castr deal limeshakuwa zuri , almost done

Soma hapa

Arsenal are planning to announce soon the ‘coming back’ of Dani Ceballos after he turned down three loan bids [from Italy and Spain]. “Only Arsenal” was his answer. Simple loan from Real Madrid. Contracts signed for Gabriel - no problem, it’s 100% done. #AFC #Arsenal #Real
 
Jamaa hasomi vizuri na akaelewa vizuri au anaelewa lakini anafanya kusudi .. Ndio maana nilimuuliza kama lugha ya malkia inampiga chenga.
 
Unai alikuwa mbabaishaji sana!.. Napiga picha mpaka leo tungekuwa na Unai tungekuwa tumerudi nyuma kiasi gani!
Niliona agent wa Thiago Silva, Paul Tonietta akisema, "PSG lost two years the day they recruited Emery, they would have won the champions league by now if not his appointment".

I think the statement has the same weight when it comes to Arsenal, we lost 18 months of progress under him.
 
Ceballos amebadilisha picha Ig katoa ambayo amevaa jezi ya Arsenal. Pia ameandika yeye ni mchezaji wa Madrid.
Sidhani kama inamaanisha harudi ila kuacha picha zake za Arsenal wakati negotiations bado zinaendelea na loan deal yake imeisha sio jambo sahihi. Kumbuka Ceballos ni Madrid player kwetu alikuwa kwa mkopo tu na ulivyoisha alipaswa kuondoa picha zinazohusiana na Afc.

Ni kama kujadili mahari na mtu ambaye anaishi tayari na binti yako, obvious you loose some burgaining power over him kwa kuwa binti alishajikabidhi huko.

By the way nimeona updates, he is closing on a season loan deal back to Arsenal.
 
Ni majaliwa. Zidane alisema anarudisha wengi waliotoka kwa mkopo, huyu ni mmoja wao. Wiki baada ya ile kauli Dani akabadilisha bio Ig na picha. Hapo alikua ametoka kusema "See you soon" kwa Nketiah (au Willock sikumbuki vizuri) ambayo it was a bigger sign that he is gon come back. Baada ya kauli ya Zidane na yeye kubadilisha Ig page yake ndiyo tunasubiri hayo majaliwa.
Zidane ameshindwa kumhakikishia first team place na Ceballos anataka kuwa part of Spain kwenye Euro next year.

So he seeks for game time elsewhere and for him Arsenal is an ideal club considering a successful loan spell especially after the restart.
 
Niliona agent wa Thiago Silva, Paul Tonietta akisema, "PSG lost two years the day they recruited Emery, they would have won the champions league by now if not his appointment".

I think the statement has the same weight when it comes to Arsenal, we lost 18 months of progress under him.
Kweli kabisa!.. PSG ingekuwa mbali sana.. Arsenal pia tulikuwa tumeshapotea kabisa!.. Lakini sasa hivi timu ikicheza unaona kabisa tuna timu na timu zote kubwa pale EPL hakuna yenye uhakika wa kutufunga kwa sasa
 
Hakika, nadhani tumpe muda Arteta ajenge team, so far yuko beyond expectations!!

Team kwa sasa ina structure japo unaona bado vijana hawana pumzi ya kutosha kuwa consistent ndani ya 90mins ila naamini ni suala la muda. Soon tutadevelop fear factor against opponents.

Back
Top Bottom