Karibu kaka tupo pamojaNimekuja mbio kuleta hz habari kumbe mwenye ARSENAL yako ushafika kitambo! Bravo Gunners
LEFT CENTER BACKAnachez possition gn huy mchezaj?
Wa nn tena huyo mbon nafac ya kiungo haifanyii kwel artetaLEFT CENTER BACK
Dirisha bado halafu Usajiri unaendeleaWa nn tena huyo mbon nafac ya kiungo haifanyii kwel arteta


M2 kma sebalos sio waku muwekea asilimia100 7babu huyo ypo kwa mkop kadri kiwango kinavy kuwa na yy anavypt nmb baadae itakuw ngum ku2 uziaDirisha bado halafu Usajiri unaendelea
Kama Unamskilizaga vzr Arteta hawez kwenda EPL na viungo hawa ,
Tayari kamrudisha ceballos
Na bado tupo sokoni
Arteta would like to strengthen his midfield and attack further but players will have to depart if more significant fees are to be paid. [@guardian @NickAmes82]
Hao nawataman sana Nyumbu ,Hivi si tungeanza na nyumbu![]()
Gem yetu na wao lini hao nyumbu?
Wana mdomo sana tungeanza nao tuHao nawataman sana Nyumbu ,
Siku hiyo Arteta aweke humo ndani Auba laca pepe willian kwa pamoja
Nione kama wakitoboa ,
Tupo nao nadhan October tu
HahaaaWana mdomo sana tungeanza nao tu
Gabriel Martinelli scored thesame amount of goals at Anfield (2) as Roberto Firmino last season (2)
Arsenal are interested in signing Celtic striker Odsonne Edouard for around €25m. Interestingly he hasn’t featured in the last 2 games for Celtic [@garbosj]
Hilo jina la pili linatamkwaje kwa kiswahili?DONE DEAL: #Arsenal have completed the signing of #Gabriel Magalhães from #Lille. https://t.co/fTrrbpxfQUView attachment 1555614


MagalasaHilo jina la pili linatamkwaje kwa kiswahili?![]()