Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha uongo ,Wewe mwerevu ungefanya research kwa ndugu zako uone walivyokua wanamtupia lawama mwenzenu humuhumu kwa nini timu inafanya vibaya.
Sijawahi kuona mtu ananitupia lawama ,
Kijana wa kiume kuwa muongo haifai,timu imefanya vibaya sana kipind cha Unai emery,
Na Nilianza kumkataa mech ya 2 tu ya Ligi pale anfield ,
Tukawa wote humu Arsenal fans tukiomba bodi imtimue ,


