Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Me nina uhakika Kepa akija arsenal akosi namba. Hata iweje, apo ndo utajua ubora wake..

#CFC
Matatizo ya Timu yenu mnakuja kujifariji ktk thread ya Arsenal.

Kaeni na shuka lenu,yule hata timu ya mashabiki wa Arsenal London hapati number.
 
Aston Villa are among the clubs interested but Arteta does not want to sell Martinez or Maitland-Niles and is hoping to raise cash from other sales to help carry on funding his summer transfer plans. [@MirrorFootball]

They want a midfielder with Atletico Madrid’s Thomas Partey still in their sights and they have also held talks over another loan deal for Dani Ceballos.
 
Chuga kama chuga, mzee wa kula mneli
Hahaha me na uhakika uyu Martinez msipomuuza kwa AstonVilla mtkuja kulia tu ata degea alikuwa ivyo na mbwe mbwe nyingi. Uzeni mapema mzuie izo million 10. Leno mwenyewe alikuwa na mbwe mbwe kama izo
 
Matatizo ya Timu yenu mnakuja kujifariji ktk thread ya Arsenal.

Kaeni na shuka lenu,yule hata timu ya mashabiki wa Arsenal London hapati number.
Hahaha sasa apo Arse8 kuna kipa wa kumuweka Kepa nje? Uyo Martinez AstonVilla wanamtaka kwa pound million 10, uyo leno kiwango hamna tena. Msibabaishwe na tumechi tuwili tutatu ..ligi ni ndefu mzee wa kazi, uzeni mapema Ohoo.
 
Schalke want to pay half of Sead Kolasinac's salary to sign him on loan from Arsenal, according to Bild. #S04 #AFC
 
Hahaha sasa apo Arse8 kuna kipa wa kumuweka Kepa nje? Uyo Martinez AstonVilla wanamtaka kwa pound million 10, uyo leno kiwango hamna tena. Msibabaishwe na tumechi tuwili tutatu ..ligi ni ndefu mzee wa kazi, uzeni mapema Ohoo.
Wewe jamaa ushabiki maandaz utakuua

Kepa huyu Pazia unamsifia hapa?
FB_IMG_1598301513843.jpg
 
Hahaha me na uhakika uyu Martinez msipomuuza kwa AstonVilla mtkuja kulia tu ata degea alikuwa ivyo na mbwe mbwe nyingi. Uzeni mapema mzuie izo million 10. Leno mwenyewe alikuwa na mbwe mbwe kama izo
Hauzwi MTU hapo

Chelsea mnatafuta kipa ,leteni £50m

Lampard katafuta soko la kumuuza Kepa kakosa

Kumuweka Kepa sokon ni Sawa na kuuza Kitimoto ,Zenji
 
Hauzwi MTU hapo

Chelsea mnatafuta kipa ,leteni £50m

Lampard katafuta soko la kumuuza Kepa kakosa

Kumuweka Kepa sokon ni Sawa na kuuza Kitimoto ,Zenji
Ajakosa kapewa nafasi nyingine maana uwezo anao.

Uyo Martinez uzeni mapema la siivyo mtajuta ..uyo thamani yake haizid pound million 15.
 
Back
Top Bottom