Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kepa?? Kwa mkopo?? Apo Arse8 kuna kipa wa kumkata namba.?
Jitahidi uwe serious wakati mwingine.

Tangu ligi ianze upya rank yamakipa kwa idadi ya saves wa kwanza ni Martinez anakuja Becker kisha Leno.

Kepa hayupo hata kumi bora.

Kama ana ubora unaoudai hapa Andre onana wa kazi gani? Yule kipa wa Coppenhagen wa kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…