OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mfano Arteta angemtaka T.Silva nyie ci mngashangilia tu.PSG are very interested in signing Matteo Guendouzi [L'Equipe]
Maana ata Willian mmeshangilia, Luiz mlishangilia pia..
Mfano Arteta angemtaka T.Silva nyie ci mngashangilia tu.PSG are very interested in signing Matteo Guendouzi [L'Equipe]
Aiseeee PSG na Thomas tuchel ni wapumbavu hivi kumbe?PSG are very interested in signing Matteo Guendouzi [L'Equipe]
Wangetupa yule Idrissa Gana Gueye tumalize biasharaPSG are very interested in signing Matteo Guendouzi [L'Equipe]
Nilisikia PSG watakuwa tayari kukaa mezani na timu yeyote inayomhitaji baada ya msimu huu kuisha.Wangetupa yule Idrissa Gana Gueye tumalize biashara
Mkuu 14Henry mbona hii post yangu umeicheka hivi hahahahaha???Aiseeee PSG na Thomas tuchel ni wapumbavu hivi kumbe?
Kwann wapumbavu? Najua unamuonaga huyo Dogo anajua , ila hao wanamrudisha kwao ndipo alipoanzia hapo ,na soka la huko kwao linamfaa ,Aiseeee PSG na Thomas tuchel ni wapumbavu hivi kumbe?
Ni mzuri sana yule, kacheza ligi hii kwa mafanikio sanaNilisikia PSG watakuwa tayari kukaa mezani na timu yeyote inayomhitaji baada ya msimu huu kuisha.
Saying no to Man U & Spurs
️Helped by Saka, Nketiah & Willock
Former coach: "A mix of Varane & VVD"
️The apology that showed his mentalityWanarudisha kwao?? Ndio sababu ya kumtaka??Kwann wapumbavu? Najua unamuonaga huyo Dogo anajua , ila hao wanamrudisha kwao ndipo alipoanzia hapo ,na soka la huko kwao linamfaa ,
Kwa hiyo "pass accuracy" kwa Ceballos unaweza kumlinganisha na Ozil, Cazorla, Rosicky, Fabregas au Vieira?Basi huangalii mpira huyo mtu.ni hatari na nusu
Ni kweli unaweza usimuone sababu kwa ARTETA toka amekuja Ceballos anacheza kama DLP(Deep lying playmaker)
Kazi iliyomnyima Toreira namba ,
DEEP LYING PLAYMAKER.
Tofauti yake na deep lying midfielder au holding midfielder ni kwamba, deep lying playmaker focus yake ya kwanza uwanjani ni kuifanya timu iende mbele zaidi. Anaweza asiwe na majukumu makubwa ya kukaba na kuzuia lakini anahakikisha anai-push timu iende mbele. Mara nyingi viungo wa aina hii wanakua na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbali zenye uhakika, pasi ya ‘kuhamisha uwanja’. Mfano mzuri ni kiungo mtaalamu Andrea Pirlo. Nchini Italy viungo wa aina hii hujulikana kama “Regista”. Nchini Brazil kama “meia-armador”.
Kwahiyo unatakiwa ujue Majukumu yake kwanza ,ndio utajua umuhimu wake ceballos
hahahah sisi Arsenal hatuna presha tena timu tumemuachia ArtetaHii timu mpaka sasa ishachukua ligi. Bado uhalisia wenyewr
Sidhan kama watatoa hiyo hela japo ndio dau Arsenal walihitajiWanarudisha kwao?? Ndio sababu ya kumtaka??
Aaron hebu kuwa straight bhana sometimes. Wanataka walipe £35M ili wamrudishe kwao tu?
Castr
Don Clericuzio
Unataka kusemaje hapa sijajua point yako ni ipi?Kwa hiyo "pass accuracy" kwa Ceballos unaweza kumlinganisha na Ozil, Cazorla, Rosicky, Fabregas au Vieira?
#Milan wants Dani #Ceballos again, but the Spanish midfielder has prioritized #Arsenal 
and wants to return to #Arteta
.Point yangu ni kuwa unaweza kumlinganisha huyo Ceballos na hao jamaa?Unataka kusemaje hapa sijajua point yako ni ipi?