Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi unaijua vizuri £350k/week mkuu?
 
Dogo yupo vizuri sana
Huyu dogo kwa upuuzi wake na umri alionao hawezi uzika kwa hiyo price. Angekuwa na discipline under Arteta price tag yake ingepaa sana. Huyu na Ozil wanapaswa kuikuta mizigo yao kwa mlinzi wa getini pale London Colney.
 
Holding ndiye beki bora kwa sasa arsenal,kabla ya kuumia arsenal ilicheza game 22 bila kupoteza
Inasemekana wanataka Arsenal inataka kuaxhana na Luiz, sokratis, Holding, Mustafi na Kolasinac msimu huu. Labda huyo kocha kaona anaweza ziba vyema oengo la hao watakaoondoka
 
Uko sahihi kabisa
 
 
Lampard and Chelsea knew about the Willian situation and that’s why they didn’t include him on Saturday to avoid Cech situation in the Europa last season.
 
Most bought player shirts on Arsenal Direct:

#1. Kieran Tierney
#2. Bukayo Saka
#3. Pierre-Emerick Aubameyang
#4. Alexandre Lacazette

[@jeorgebird]
 
2020/21 Dates for your diary:

Monday 17th August
Arsenal return for pre-season training

Saturday 29th August
Community Shield v Liverpool

Saturday 12th September
Premier League season starts

Friday 2nd October
Europa League Group Stage Draw

No other dates at present.
 
Ratiba ya mechi za msimu wa 2020/21 ishatoka?
 
Usajili Updates:



Baada ya Arteta na timu yake kushinda kombe la FA, Arteta ameiambia bodi kwamba anataka timu icheze mtindo wa 4-3-3 msimu ujao.

Mtindo huo unahitaji wachezaji wa aina ya Willian, Thomas Patey na Phillipe Coutinho.

Isitoshe wiki hii Aubameyang anatarajiwa kutia saini mkataba mpya na Arsenal wa miaka mitatu ambayo utamlipa pauni 250,000 kwa wiki.

Ila Auba anataja kuona wachezaji wa maana wanasajiliwa na arsenal.

Tungoje wiki hii tuone Willian kama atakubali miaka 3 au bado anataka miaka 4.
 
Willian almost deal done

Vyombo Vingi sana Leo vimeripoti

Hadi vya Brazil , Italy

Nadhani wiki haitaisha tutamtangaza
 
(4-3-3)

-MARTINEZ

-BELLE -SALIBA -LUIZ -TIERNEY

-CEBALLOS -PARTEY -XHAKA

-WILLIAN -AUBA - COUTINHO


SUB:
-Leno
-Pepe
-Lacazette
-Holding
-P. Mari
-Mustafi
-Maitland Niles
-Cedric
-Torreira
-Saka


Hivi kikosi kama hiki huyo mpinzani anatokea wapi?!

Yani hapo unaangalia mpira huku pembeni unashushia na kinywaji kabisa!
 
Willian almost deal done

Vyombo Vingi sana Leo vimeripoti

Hadi vya Brazil , Italy

Nadhani wiki haitaisha tutamtangaza

Kuna jamaa aitwa Fabrizio Romano.

Ni mwandishi wa habari za michezo hususan za usajili.

Mwingine ni Bruno Vicari wa Brazil ambae huripoti ESPN

Hawa huwa nawaona wako karibu na source zangu za uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…