Tumetoa draw na brum baada ya wao kubebwa na refa kwenye equalising goal lao (offside,handball na foul kwa rio)..Kila timu inapata calls for and against them inategemea unatumiaje hizo calls. Kuhusu mechi na spurs whether nani angefunga au asingefunga spurs wasingesawazisha ndio maana walikaa kimya baada ya mechi..point hapa ni kuwa mmetoa draw na 10-man inferior team.Which two wrongs? These are the same referees who operates with same rules unless its your team then its right. You drew at St. Andrews same as us its not that we lost a match, (i.e lost two points but the difference is that the referee favoured Wigan) I'm just pointing out to you that there isn't any justice in so many times when your team is involved but you turn a blind eye when its on our side.
Kuwahi kutufunga sio tatizo kwani Arsenal hajawahi kuwafunga? Take your pills mate!
Kumbe wewe ni mwepesi wa kusahau, unakumbuka mechi yenu na Spurs ...... .....pics kwenye thread yenu ....
.On your dreams mate. 30th April ndio utajua zipi ni mbivu usitegemee kumpata M. Dean khe khe kheeeeeeee
Hivi refa anapofanya makosa kwa uzembe wake na kusababisha athari kwa timu pinzani, anakuwa amekusudia kubeba timu kweli? Basi football haina maana kama refa anabeba timu na kila mtu anajua hivyo.
Haya game na Spurs tumebebwa ,game na Birmingham wao wamebebwa, ndio maana nimekwambia kila timu inabebwa
.
Haya maneno kila kabla ya game unayarudia mkifungwa unasingizi tumebebwa, kama Mr Bean ataendelea kuwa kocha wenu mtegemee vichapo kutoka Man U
Mbele ya macho ya washabiki wengi marefa hawafanyi makosa (human error) especially wakiwa wanachezesha mechi za man utd.Hivi refa anapofanya makosa kwa uzembe wake na kusababisha athari kwa timu pinzani, anakuwa amekusudia kubeba timu kweli? Basi football haina maana kama refa anabeba timu na kila mtu anajua hivyo.
Mbele ya macho ya washabiki wengi marefa hawafanyi makosa (human error) especially wakiwa wanachezesha mechi za man utd.
heri ya mwaka mpya wakuu wotee.nawatakia mwaka wa mafanikio na mungu hawajalie kufanikisha malengo yenu yote.
heri ya mwaka mpya wakuu wotee.nawatakia mwaka wa mafanikio na mungu hawajalie kufanikisha malengo yenu yote.
Fabregas alikuwa na 5 YELLOW CARDS ndo maana ali miss mechi ya Wigan.Hakuna popote iliposemwa kama Fabregas anaumwa labda kama kuumwa huko kunafanywa siri.
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal van persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee is baaaaaaaaaaaaaaaaack