Itakuwa wana mtindua..Nadhani leo amejifunza, sub zake huwa km yupo bias, hivi hawa kina Willock wanatumia dawa gani jama?


Nikwakua imekua ni assist tu ila killer pass ni ile iliyopigwa na Ceballos,angalia vizuri ni hatari ile pasiDogo amepiga pass tamu sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asenyoo ya cku hizi kuna wachezaji wa hovyo hovyo eti mchezaji anaitwa willock cjui sakatonge cjui nngetiwa yule alioingia sub kwann msitiwe goli![]()
Sawa ila hujaona soyuncu alivyolamba nyasi pale ile assist ni kali sana mkuuNikwakua imekua ni assist tu ila killer pass ni ile iliyopigwa na Ceballos,angalia vizuri ni hatari ile pasi
Nyumbu unapata wapi ujasiri wa kuisema ArsenalAsenyoo ya cku hizi kuna wachezaji wa hovyo hovyo eti mchezaji anaitwa willock cjui sakatonge cjui nngetiwa yule alioingia sub kwann msitiwe goli![]()
sawa ze blauz yule overrated odoi siku hizi vp anagoli ngapiNyumbu unapata wapi ujasiri wa kuisema Arsenal
Tutajamaliza nyama zenu nyie jezi ntaazima tuIle Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.View attachment 1500848
Acha kujadili hicho kikundi cha kikobaIla makocha at times wanaua viwango vya wachezaji, hivi kwa Circumstance anayopitia lacca afu anaanza kurecover kwa performance yake km ya jana na unamtoa dk70, huoni unamuunderstimate na kufanya ajifeel low,??? Afu unatoa lacca unaingiza mtoto wa mama Nketiah
Jana wakumtoa alikuwa Auba
Maana kila mpira alikuwa anaharibu sema tu ndo the best player tutafanyaje sasa.

Acha ushoga weweAcha kujadili hicho kikundi cha kikoba
Sawa Mariam birianAcha ushoga wewe
Usipoteze muda wako humu pasipo na timu mkuu, nenda kwenye timu ukajadili vitu vya msingi, unless tutakuona nawe kiazi tu km mbatata.Mishipa inawatoka kama mna team kumbe takataka



