Pure Moods
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,381
Safiii wanangu Arsenal hawa Leicester ni wachumba tu tuwapige hata tatu.
GGMU
GGMU
Hii game tunaitia ugumu ilitakiwa iishe kipindi cha kwanza aiseeeh
Credit kwa casper![]()
Hahaha iyo £100 unanunua timu nzima ya arsenalHuyu saka aiseeh, hapa tukilea vizuri naiona £100m
Dogo amepiga pass tamu sana.1st goal. AubaView attachment 1500458
Huko kwenye kuuza wachezaji wakali inabidi tutoke huko.Tubaki nao yaani wasitamani kwingine. Naona Liverpool na City kwa England ndo wamefika viwango hivyo.Huyu saka aiseeh, hapa tukilea vizuri naiona £100m
Labda chelsiseaHahaha iyo £100 unanunua timu nzima ya arsenal
Torreira
Ceballos
1-0
(80)