Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usipoteze muda wako humu pasipo na timu mkuu, nenda kwenye timu ukajadili vitu vya msingi, unless tutakuona nawe kiazi tu km mbatata.
Ntamwambia moderator aufute huu uzi wa aseno sababu hi team ni takataka kama takataka nyengine
 
Kifupi kampuni ya KSE imenunua deni la Arsenal. Hii sasa inatoa nafasi kwa arsenal kununua wachezaji bila kuwa na presha

Official: Arsenal announce that they will redeem their fixed rate bonds, financed by a loan provided by KSE #AFC
IMG_20200709_193851.jpg
 
Greenwood na nusu
Huyu dogo ile video yake ya kumkatikia kiuno mchezaji mwenzake ilivyosambaa Ole akampiga benchi, mashabiki wakaunga mkono. Sasa timu yenyewe kumbe hata CF haina ikabidi hili punga walirudishe lipate namba. Ndo unaliona linazurura uwanjani na kuzipiga ndondokela kama Origi.

Sasa hivi mshasahau kama mlisema hamtaki mapunga yachezee timu yenu. Shwain
 
Imagine grown up man dissing a talented 18 year-old boy.
Man toa pongezi panapostahili
 
No player has scored more Premier League goals from outside the box than Mason Greenwood this season (4) #mufc [sky]
 
Back
Top Bottom