Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao masista wanashindwa kushinda mechi zao mpaka westham wanawabokoa ,wanatutegemea sisi tushinde ili wao wakae 3rd
Pambav sana wakaze makalio washinde game zao,kila mtu ashinde game zake

Hahaha, wasamehe bro.

Kila siku wanapiga makelele eti wametupa ubingwa huku wao kujisaidia hawawezi.
 
Arteta anauwezo mdogo sana wa kusoma mchezo Ile substitute aliyomfanyia Lacazette ndio iliimaliza team,Lacazette ndio alikuwa anaifanya Defence ya Leicester iwe kwenye Hard time muda wote
No Excuse ni Arteta fault na sio mechi hii tu ni mechi nyingi Arteta amekuwa anafanya Childish substitute anaiua mechi kwa himself
 
Often times he gambles
 
True, game ya leo Laca alijitahidi kuwaweka bize kina evance na soyuncu ila arteta ni kama baba yake tu wao sub zao wanatoka nazo nyumbani, yaani game haijaanza yeye kashapanga dakika flani ataingiza mtu flani,Wenger alikuwa ananikera sana na haka katabia kake
 
We kweli ni takataka nani akutegemee wewe, timu lenyewe limejaa matakataka tu. Haya tulikuwa tunakutegemea umeishia wapi sasa?
Kwahiyo baba yako takataka?hivi nyie watoto mmekuwaje siku hizi?
 
Arteta nae ni Unai aliyechangamka, wee Lacazette aliyekua anasumbua beki unamfanyia sub dk 70 kisha unaingiza vidigidigi vile utarajie upate ushindi, huwa sielewi sub zake kabisa aisee....
 
"I'm extremely proud of our team and the way we played against this type of opposition with how dominant we were in the first half. But clearly, we should've gone three or four-nil up and killed the game. That's what you have to do with this type of opposition."

#ARSLEI https://t.co/pTgHsmw7O8

Arteta
 
Arteta nae ni Unai aliyechangamka, wee Lacazette aliyekua anasumbua beki unamfanyia sub dk 70 kisha unaingiza vidigidigi vile utarajie upate ushindi, huwa sielewi sub zake kabisa aisee....
Nadhani leo amejifunza, sub zake huwa km yupo bias, hivi hawa kina Willock wanatumia dawa gani jama?
 
Nadhani leo amejifunza, sub zake huwa km yupo bias, hivi hawa kina Willock wanatumia dawa gani jama?
Arteta anataka kulazimisha vitu,
Arteta anataka kui build timu around those boys lakini anasahau it's not a must kwamba should play kila mechi lazima wacheze.

Mchezaji kama huyu Willock a namuona kabisa really lack of creativity, Reading of the game yake ni Poor ni Quality ya Championship player kabisa hakuna anacho offer.
 
Arteta ameweka full faith kubwa kwa wachezaji kama Willock, Nketiah .....this is jokes

Nketiah huyu ambaye ame spent time on loan huko Championship side na still bado hakuweza kuwa First choice.

Willock stupid player lazy kabisa.
 
Back
Top Bottom