Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Zimebaki dakika ngapi mazee
Tulia wewe Kijana dawa ikuingie vizuri acha machepeleRefa anawekwq kweli huyu, red card ya kipuuzi kabisa
Sasa tuna red halafu wakina Auba ndo washatoka ulitaka iweje?Hamna jipya kabisa Arsenal ni ile ile
Kupata draw?Hii game tumepoteza kizembe sana
Aise kuisupport arsenal ni kazi ngumu. Dkk 90 tuu sina hamu.
Hongeren mashabiki wa arsenal
Westham hao wanakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mmezidiwa kila kitu takataka nyie