Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ishu sio miaka 30 kwani sisi si tuna miaka 17 sasa?ndio tunaelekea huko huko na kwa bodi hii ambayo ina maneno matamu ila vitendo sifuri hata miaka 50 inaweza ikafika kama the blues bila EPL na for sure in 5 years to come kwa timu hii ya kina willock Matteo tutaendelea kushuhudia makombe yanaenda kwa Majirani
Feelings za kupata ubingwa baada ya miaka 30 ama sijakuelewa mkuu?
Naongelea feelings zao leo imagine sisi ndio tumebeba ndoo ya EPL miaka 17 hadi sasa sio mchezo na mtoto wa miaka 17 atafanya National Exams November
 
Ishu sio miaka 30 kwani sisi si tuna miaka 17 sasa?ndio tunaelekea huko huko na kwa bodi hii ambayo ina maneno matamu ila vitendo sifuri hata miaka 50 inaweza ikafika kama the blues bila EPL na for sure in 5 years to come kwa timu hii ya kina willock Matteo tutaendelea kushuhudia makombe yanaenda kwa Majirani
Naongelea feelings zao leo imagine sisi ndio tumebeba ndoo ya EPL miaka 17 hadi sasa sio mchezo na mtoto wa miaka 17 atafanya National Exams November
Hata kama tuje kubeba miaka 5 ijayo feeling zetu haziwezi fanana,maana wao hawajawahi shuhudia kabisa timu yao ikibeba hilo kombe,sisi atleast generation yetu imeshuhudia hilo....kwahiyo hakuna mfanano hapo
 
Arsenal walikuwa tayari kumpa mshahara wa 250k Willian wa Chelsea kwa uhamisho huru,lakini hii ilikuwa kabla ya mlipuko wa janga la COVID19.

dah?
 
wakati wewe una miaka 17 huyo aliyebeba leo kakaa 30years bado unataka kulinganisha vibes?na kuna jitu lilikaa 50years! so kuwa mpole mkuu hii ni football.
Dhahabu inapita katika moto mkali sana ili ing'ae mzee
Baba ako jana kaendeleza ubabe wa London ..muheshimu usije pata laana..

Unamwita baba ako jitu??

CFC
 
After Aftv media posting hiyo picha,kilichofuatia baadhi ya comments kweli watu wamechafukwa
20200626_163440.jpeg
20200626_163413.jpeg
 
Moja ya makosa makubwa yatakayofanyika under arteta's stewardship ni kuondoka kwa Guendouzi.

Hii itakuwa ni sawa na ishu ya Gnabry au ox.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, ni Guendouzi ndio ameuambia uongozi wa Arsenal kwamba hatoiacha offer itakayokuja. Na wala sio Gunners kumwambia au hata kuonesha ishara kwamba hana nafasi Arsenal.

Guendouzi ameona sera za timu hazina mashiko kwenye mpira wa sasa na wala hana haja ya kupoteza muda wake Arsenal.

One of the very talented midfielder of the current time.
 
Hapo ulipo una stress za maisha yako ukichanganya na stress za Arsenal unayafanya maisha yako yawe mafupi si Bora tu uamie team nyingine.
 
Back
Top Bottom