kwani nimebisha mkuu,sema huku ukijipigapiga kifuani "SISI LIVERPOOL TUNAKARIBIA KUBEBA UBINGWA WA KWANZA WA EPL TOKA DUNIA IUMBWE,NA TUTAJITAHIDI KUWAFUKUZIA WALIOTANGULIA ILI TUWE NAO SAWA,HAIJALISHI TUTATUMIA MIAKA 90 AU 180"
Mzee kwani uliwahi kuwa Arsenal?UKWELI NI KWAMBA ARTETA KAZI YAKE YA UKOCHA ARSENAL IMEINGILIWA NA UONGOZI WA CLUB. ARTETA ANAFANYA KAZI CHINI YA MAELEKEZO YA VIONGOZI WA CLUB.
UJIO WA ARTETA TULIPATA MATUMAINI KWAMBA INAENDA KUJENGWA ARSENAL MPYA YENYE WACHEZAJI WA VIWANGO VIKUBWA.
LAKINI HUU MWELEKEO TUNAOKWENDA NAIONA ARSENAL NI ILE ILE ISIYOKUWA NA MALENGO YA KUJENGA TIMU NA KUTWAA MAKOMBE BALI NI ILE ARSENAL INAYOPAMBANIA TOP 4 ISHIRIKI MASHINDANO YA UEFA
KITUKO KINGINE CLUB INASHINDWA KISAJILI WACHEZAJI WA VIWANGO VYA JUU BALI INAENDELEA KUKUMBATIA MATAKATAKA.
UONGOZI HAKUNA CHA MAANA WANACHOJADILI ZAIDI YA PUMBA TUU NA KULIPANA MISHAHARA MIKUBWA NA KUISHIA KUIJEUZA ARSENAL UNDERDOG KWA TIMU ZA TOP 6.
hiyo inanihusu kabisa mkuu, siwezi kosa nikiwa kama mmoja wa wadau wa HALISIUnakaribishwa kwenye sherehe, wewe kama mmoja ya wanafamilia wa Liverpool HALISI.
aiseeeeeeeeeeeeh wewe tunza kodi hahahahahahahahah mbona unataka kuharibu tena aiyahhhhhh 3doors kama 3doors , ARV kama ARV na kule kwa mabingwa pia yumo na mkuu Don Clericuzio analijua fika hahahahahahahaMzee kwani uliwahi kuwa Arsenal?
Huyo ni Arsenal fan, mashabiki wetu wamejaa sana huko,siku timu ikikaa sawa watarudi tu nyumbaniMzee kwani uliwahi kuwa Arsenal?

Wazee vipi leo tunaumiza au tunaumizwa?
London is Red wanafahamu na wanajua ila wanakakamaza skul,Huyo ni Arsenal fan, mashabiki wetu wamejaa sana huko,siku timu ikikaa sawa watarudi tu nyumbani![]()
aah! lolote liwe, tutajipanga the next season.Wazee vipi leo tunaumiza au tunaumizwa?
Nyie Arsenal mmejaa Sana huko Barca sio Chelsea Wala Hakuna connection yoyote Kati ya Arsenal na Chelsea.Huyo ni Arsenal fan, mashabiki wetu wamejaa sana huko,siku timu ikikaa sawa watarudi tu nyumbani![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hiyo jeuri ya kusema Chelsea Ni upcoming umeipatia wapi?wewe mpaka leo huna uefa hata dalili ya kuchukua epl tu kwa miaka 20 ijayo huna alafu unan'gan'gania kusema London is red hiv uoni Kama unajichekesha mwenyewe.London is Red wanafahamu na wanajua ila wanakakamaza skul,
Chelsea ni upcoming kama City na Spurs
Hatutabiriki kaka.Wazee vipi leo tunaumiza au tunaumizwa?
Wazeee hii gem ipo channel gan kwa dstv natafuta siipati msaada tafadhari
Haya majamaa yanajifanya hayafuatilii timu yao, yakishinda hii mechi utayaona yanakuja hapa kufanya analysis za uongo na kweli na muendelezo wa vitetesi uchwara.
Mkishinda Mmbaki huko huko tuachieni jukwaa tutawale.
Sent using Fly in any Weather.