Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu wale wasen*e wamarekani wanachojua ni mapato tu maswala ya maumivu ya kufungwa wala hawana mda nayo inauma ila tumeshazoea
 
Kusajili hatusajili kila siku Aaron anakuja na story za kupamba pamba mara huyu kakataa kusign anakuja Arsenal mara sijui nini Giants wenzetu hawapambi wao wanasajili direct,we like to hear those beautiful stories za kupamba pamba za Aaron mwenzetu ila hatuna kocha hatuna wachezaji timu ipo ipo kama binti anayetongozwa huku ananyonya vidole
mmm**eee
 
Hii timu tetesi tangu kipindi cha Wenger ila hamna kitu hii timu
 
Bye bye David Luiz!
Screenshot_2020-06-18_140202.jpg
 
Back
Top Bottom