Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That's FACT umeongea tumempamba sana Arteta ila hatusogei tangia aje tulikuwa wa 10 now tupo wa 9 hii timu sijui ina shda gani who is to blame?
Na hapo ndipo matatizo yote haya huanzia. Unajua bro huu ni zaidi ya mwaka wa 20 tunaangalia EPL on every single season.

Angalia Man city wanamsajili Rodry halafu united wanampromote McTominay au Arsenal wanampromote Maitland Niles for the same position.

Huoni utofauti huo??
 
9th..and still dropping
Screenshot_20200618-001101_All%20Goals.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusajili hatusajili kila siku Aaron anakuja na story za kupamba pamba mara huyu kakataa kusign anakuja Arsenal mara sijui nini Giants wenzetu hawapambi wao wanasajili direct,we like to hear those beautiful stories za kupamba pamba za Aaron mwenzetu ila hatuna kocha hatuna wachezaji timu ipo ipo kama binti anayetongozwa huku ananyonya vidole
 
Back
Top Bottom