Subiri tutakuhadithia mkuu. Tunza charge.link ya kustream live hii mechi jamani huku tanesco wamezingua tayari
ah wapi mzee nishafika banda umiza hapa nacheki chapa kama nipo emirates vile
Natumai umekutana na kijana wangu Sterling hapoah wapi mzee nishafika banda umiza hapa nacheki chapa kama nipo emirates vile




Ujinga mtupu...Haya ma*i tuliyochukua Chelsea yanatugharimu tena
Walaumu technical team yenu ilimuona atafaa.Haya ma*i tuliyochukua Chelsea yanatugharimu tena
Tusubiri game iishe kakaMgonjwa kaanza kukataa dawa.
Tusubiri game iishe kaka
aubamayang acheze central willock atoke
ceballos asogee juu
Mpaka sasa shots on target ni 5/0 matumaini yenu ni hafifu sana.Najuta EPL kurudi bora ligi ingefutwa miezi 3 tulishasahau haya maumivu leo yameanza rasmi
vip ubingwa wenu mnachukua liniIli iweje?
Hapo hakuna juu pa kusogea, tulieni sindano iwaingie.