Tena asijiloge akakubali kubaki na uhakika Arteta akipewa fungu la kutosha la kusajili ataishia kuwa benchi au kukaa nyumbani kabisa mtu unalipwa 350K halafu una assist 1 na 1 goal karibia mechi 30 hata Auba halipwi hyo pesaSio suala la kumpenda na kutompenda, ni suala la atakuwepo tu, period!!!!
Hahaha unajidanganya ndugu yangu, hili chama tuko nalo toka miaka ya tisini uko ..kipindi wewe bado bado hujazaliwa najua..Ndio maana nikasema mkimbizi kutoka Liverpool, Chelsea imejulikana baada ya ujio wa Abrahamovic na Jose Moulinho
Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahaha ivi mkuu mjani unauchukuliaje?


Elfu mbili?? Na akina Duly na Aroon mwaka gani kama mimi ni elfu mbili??Muongo ww umezaliwa miaka ya 2000,taja kikosi cha arsenal invincibleView attachment 1374536
Sent using Jamii Forums mobile app




Kwa iyo mukishafungwa na wachezaji wa mchangani munakimbilia kuwanunua..kwanza munapesa?Vipi taarifa kuhusu yule beki wa Olympiacos aliyetufunga au kiungo wao yule Camara.


Elfu mbili?? Na akina Duly na Aroon mwaka gani kama mimi ni elfu mbili??
Em nitake radhi mkuu..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
kuanzia tarehe 2 February dhidi ya Burnley hadi mechi ya leo ni dhidi ya newcastle pekee, tena second half ndo tuliupiga Mwingi sana ,ila point tunazipata kiubishi ubishi mpaka filimbi ilie ndo moyo unatulia,kama filimbi haijalia unakuwa hauna uhakika na point 3 hii inanipa mashaka sana dhidi ya Manchester City j5 kama tukiamka vizuri,hata point 1 tutapata ilimradi tumepata point 3 basi hilo ni la kushukuru sisi huwa tunamiliki mpira ila kwenye attempts na on Target huwa tunaachwa mbali sasa Manchester City ambao muda wote wanakushambulia sijui itakuwaje ngoja j5 ifike
Hahahaha ivi mkuu mjani unauchukuliaje?
Ile ni dawa ..ivyo usiuletee masikhara
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli????hahahaaaaaaaa aiseeeehWhatever the reasons for his departure, Alikuwa hana mchango wpwpte kwenye team