Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niles abaki
Taarifa kutoka Arsenal zinasema Arsenal wako tayari kuswap deal la lacazette na Raul Jimenez wa wolves.

Pia wapo tayari kumruhusu Joel willock RB Leipzig ili kumpata upamericano badala ya Emilie Smith Rowe kama ilivyozungumzwa awali.

Pia taarifa kutoka ndani Arsenal iko tayari kuwaacha wachezaji 7 mpaka tisa dirisha kubwa wachezaji wanaopigiwa chapuo kuachwa ni.
Henri mikhitariany
Mo elneny
Papa
Niles
Mateo
Rob holdibd
Willock
Ozil
Lacazette

Arteta anataka kutebgeneza career yake pale Arsenal. Anao walenga.
Dan ceballos
Upamericano
Jimenez
Halloget
Coutinho
Ruben dias
Thomas partey.

The New generation 2020/2021.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta mkali sana naona kasha mwambia AMN apambane kama anataka namba

Kuhusu game na man city inabid acheze kama ole/nuno tu la sivyo vigumu sana kuipindua city
 
Yes, boss!

games
clean sheets

@m8arteta has been nominated for the @PremierLeague Manager of the Month award for February
 
*LUCAS TORREIRA INJURY UPDATES*

Kwa mujibu wa taarifa iliyo toka baada ya game kwamba torreira aliumia ankle

ila sasa www.arsenal.com hii ni source wame publish taarifa mpya kwamba torreira amepata fracture kwenye ankle yake

tunaposema ( fracture) ni kuvunjika pia tunaposema ni maungio ya mifupa kati ya mguu na unyayo au niseme leg and foot kama nitakuwa sawa

injury hii uwa inategemea na nature na kisababishi cha injury anatakiwa kufanya exercise mapema ili kuepuka injury za kujirudia baadae

mwisho team imesema now yupo chini ya wataaramu kuweza kujua ukubwa wa damage na mda gani atakuwa nje kwa ajili ya rehab

Get well soon torreira

View attachment 1378232
Dah anapona huyu halafu anaumia mwingine
 
AHEAD OF THE GAME: Arsenal increasingly resigned to losing captain Pierre-Emerick Aubameyang due to £300,000-A-WEEK wage demands

Jamaa kaona isiwe shida kwanini Ozil anakula 350k alafu yeye ambaye timu ipo mabegani mwake kwa kiasi kikubwa ale 200k.....
Arsenal hapa ndipo walipombwela ,walikirupuka mno kumpa mkataba mnono Ozil ambao sasa unawatesa wenyewe na kutuumiza sisi washabiki,maana tumempoteza Aaron Ramsey kwa mtindo huu huu,
Kipindi kile Sanchez na Ozil wanajambisha kulipwa pesa ndefu ni bora wangewauza wote then tukabaki na kina Ramsey,
Nina asilimia 80 kuwa jamaa atasepa au tuzidi kujichimbia kaburi,maana akipewa hiyo pesa next season mwingine atachomoza kuanza kujambisha hivihivi....

Hapa uongozi ulifanya kosa kubwa sana na litawagharimu sana tena sana.

Sikubaliani na wewe, 300k ni wage demand ya auba, they are still talking. Honestly, naamini arsenal made the right decision to sell Ramsey, it would have been ridiculous to meet his wage demand whereas the players is injury prone. Just imagine, juve are considering to party company with him.
 
Sasa Ramsey walimuuza?au alisepa free?????
Hujanielewa yakupasa unielewe kwanza....kwani Sanchez aliondokaje?si hivi hivi nae aliweka demand yake?mwisho wa siku timu ikashindwana nae akasepa,muda huohuo Ozil nae akaanza chokochoko zake,timu kwa kuogopa kupoteza keyplayer kwa mpigo ikakurupuka kumpa mzigo wa maana 350k sio masihara mzee,na wote ni mashahidi hapa mshahara anaolipwa jamaa na anachochangia uwanjani haviendani kabisa.....na hili ndilo linalompa sababu kubwa ya auba kudemand hiko kiasi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya mwisho kwa Arsenal kucheza jmosi ilikuwa ni tarehe 18 Jan na tukapata matokeo ya sare na sheffield United Leo tunacheza tena jmosi matokeo ya Leo ni lazima 3 points sababu j5 tuna game na Manchester City ambayo ni game ngumu sana kwetu hvyo leo point 3 ni muhimu sana pia kupambania top 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AHEAD OF THE GAME: Arsenal increasingly resigned to losing captain Pierre-Emerick Aubameyang due to £300,000-A-WEEK wage demands

Jamaa kaona isiwe shida kwanini Ozil anakula 350k alafu yeye ambaye timu ipo mabegani mwake kwa kiasi kikubwa ale 200k.....
Arsenal hapa ndipo walipombwela ,walikirupuka mno kumpa mkataba mnono Ozil ambao sasa unawatesa wenyewe na kutuumiza sisi washabiki,maana tumempoteza Aaron Ramsey kwa mtindo huu huu,
Kipindi kile Sanchez na Ozil wanajambisha kulipwa pesa ndefu ni bora wangewauza wote then tukabaki na kina Ramsey,
Nina asilimia 80 kuwa jamaa atasepa au tuzidi kujichimbia kaburi,maana akipewa hiyo pesa next season mwingine atachomoza kuanza kujambisha hivihivi....

Hapa uongozi ulifanya kosa kubwa sana na litawagharimu sana tena sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anabak
 
Today's team news at Emirates Stadium...

@PabloMV5 makes his #PL debut
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 @EddieNketiah9 leads the line
@Aubameyang7 also starts

#ARSWHU | @PremierLeague
Screenshot_2020-03-07-17-01-30.jpeg
 
Sasa Ramsey walimuuza?au alisepa free?????
Hujanielewa yakupasa unielewe kwanza....kwani Sanchez aliondokaje?si hivi hivi nae aliweka demand yake?mwisho wa siku timu ikashindwana nae akasepa,muda huohuo Ozil nae akaanza chokochoko zake,timu kwa kuogopa kupoteza keyplayer kwa mpigo ikakurupuka kumpa mzigo wa maana 350k sio masihara mzee,na wote ni mashahidi hapa mshahara anaolipwa jamaa na anachochangia uwanjani haviendani kabisa.....na hili ndilo linalompa sababu kubwa ya auba kudemand hiko kiasi....

Sent using Jamii Forums mobile app

Whatever the reasons for his departure, Alikuwa hana mchango wpwpte kwenye team
 
Taarifa kutoka Arsenal zinasema Arsenal wako tayari kuswap deal la lacazette na Raul Jimenez wa wolves.

Pia wapo tayari kumruhusu Joel willock RB Leipzig ili kumpata upamericano badala ya Emilie Smith Rowe kama ilivyozungumzwa awali.

Pia taarifa kutoka ndani Arsenal iko tayari kuwaacha wachezaji 7 mpaka tisa dirisha kubwa wachezaji wanaopigiwa chapuo kuachwa ni.
Henri mikhitariany
Mo elneny
Papa
Niles
Mateo
Rob holdibd
Willock
Ozil
Lacazette

Arteta anataka kutebgeneza career yake pale Arsenal. Anao walenga.
Dan ceballos
Upamericano
Jimenez
Halloget
Coutinho
Ruben dias
Thomas partey.

The New generation 2020/2021.
This is impossible, haitokaa itokee and ozil is staying
 
We Ozil unampendea nini lakini?mtu karibia mechi 30 ana goli 1 na assist 1, wakati kuna watoto damu zinachemka na ni hatari tuache kukariri Ozil muda wake umeisha tayari hana consistency katika mechi 10 unakuta 1 ndo anaperform mfano Leo anaweza perform vizuri sana ila mechi ijayo dhidi ya Brighton utashangaa anapotea,ila kiuhalisia msimu ujao lazima tujenge timu na hao waliotajwa wakiondoka itakuwa ni sawa sawa kabisa mfano tukampata Jimenez kwa Lacazette au Maddison kwa Ozil tutakuwa hatujawin?sitaki kuamini kama hii statement imetoka kwa shabiki wa Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubaliani na wewe, 300k ni wage demand ya auba, they are still talking. Honestly, naamini arsenal made the right decision to sell Ramsey, it would have been ridiculous to meet his wage demand whereas the players is injury prone. Just imagine, juve are considering to party company with him.
You know how it works mkuu, hats off kwako
 
We Ozil unampendea nini lakini?mtu karibia mechi 30 ana goli 1 na assist 1, wakati kuna watoto damu zinachemka na ni hatari tuache kukariri Ozil muda wake umeisha tayari hana consistency katika mechi 10 unakuta 1 ndo anaperform mfano Leo anaweza perform vizuri sana ila mechi ijayo dhidi ya Brighton utashangaa anapotea,ila kiuhalisia msimu ujao lazima tujenge timu na hao waliotajwa wakiondoka itakuwa ni sawa sawa kabisa mfano tukampata Jimenez kwa Lacazette au Maddison kwa Ozil tutakuwa hatujawin?sitaki kuamini kama hii statement imetoka kwa shabiki wa Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio suala la kumpenda na kutompenda, ni suala la atakuwepo tu, period!!!!
 
Back
Top Bottom