Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi yupo wapo siku hizi? jamaa ni bwege yule, angeendelea tungekuwa tunashindana kutoshuka daraja
Falasi huyu, yupo kwao Spain anatumbua pesa zetu tulizomvunjia mkataba.
_20200307_235248.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukimpiga Manchester City kwao hyo j5 kutakuwa hakuna kirusi narudia KIRUSI cha kutuzuia top 4 kwangu hii ndo mechi itakayotupa dira sababu bado tuna game na Liverpool,wolves,Leicester,spurs hizi ni game ngumu pia ila tukishinda j5 tutakuwa tumekiua hicho kirusi rasmi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote tunaombea iwe hivyo ila sio rahisi japo kwenye mpira surprise hutokea.

Now tumekua na ugojwa wa kutotengeneza nafasi za kutosha kwenye ufungaji, pia tunaruhusu kushambuliwa.
Hope Arteta atayafanyia kazi haya mapungufu.

Kama mwalimu atakuja na mbinu nzuri pia wachezaji kujitoa kwa moyo plus away form tuliyonayo naamini tunaweza kupata matokeo ya kuridhisha. Kwangu mimi draw will be fair result.
COYG..............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera the gunners, kuna improvement kila siku. Hata Mancity anaweza kufungwa tu, ilà draw would be fair.
 
Granit Xhaka bado yupo slow sana anafanya tunapoupoteza mpira mabeki wawe na kazi ya ziada dhidi ya timu yenye kufanya counter attacks.

Si mbaya tupo 5 points nyuma ya Chelsea na mechi moja ya kiporo.

Emery ametuingiza gharama kubwa sana aisee.

Wachezaji wengi bado wako kwenye football wilderness na Arteta anajitahidi kuwarudisha kwenye real football..

COYGs!!
Jana kapandishwa mbele kidogo

Ujio wa mari anayetumia Left foot unamfanya Xhaka asogee kidogo mbele ndio maana Jana alipata mipira mingi eneo la mbele

Ila hakuwa vzr kwenye pass accuracy
 
Wote tunaombea iwe hivyo ila sio rahisi japo kwenye mpira surprise hutokea.

Now tumekua na ugojwa wa kutotengeneza nafasi za kutosha kwenye ufungaji, pia tunaruhusu kushambuliwa.
Hope Arteta atayafanyia kazi haya mapungufu.

Kama mwalimu atakuja na mbinu nzuri pia wachezaji kujitoa kwa moyo plus away form tuliyonayo naamini tunaweza kupata matokeo ya kuridhisha. Kwangu mimi draw will be fair result.
COYG..............

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunahitaji namba 8 mnyumbulifu

Jana xhaka alisogezwa mbele kidogo ,akawa anapiga pass ambazo zinapotea

Shukran kwa Ceballos alifanya kaz kubwa sana
 
Pepe anahitaji matengenezo , anaenda kulia sana akiwa na mpira anavyorud kushoto anakuta wameshamziba ,anarud kushoto na kupoteza chance , sasa wakakutana wote na ozil ni left foot

Alipoingia nelson pakabadilika
Nimemuangalia Pepe kwa umakini sana simzuri kwenye kutunza mipira anatanua sana miguu kitendo kinachosababisha kua nanafasi ya kupoteza mpira kwa urahisi nimchezaji anaehitaji sana space kubwa ili aweze kuleta madhara. Akishakaribiwa hua ana struggle sana. Haya ni maono Yangu lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom