batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,361
Na Arteta atatumia zile mbinu alizopewa na WengerHahahaha sasa hii mechi pep anaenda kutumia mbinu za kile kitabu ambacho hakumpa Arteta.
Sent using Cash Money Wings
Na Arteta atatumia zile mbinu alizopewa na WengerHahahaha sasa hii mechi pep anaenda kutumia mbinu za kile kitabu ambacho hakumpa Arteta.
Sent using Cash Money Wings
Usiogope kijana!.. Tutamumudu vizuri kabisa Pep!. Tunazijua mbinu zake nje ndaniHapo Arteta atajipiga risasi sokoni kujiua kwa aibu. Pep alimuonea sana Wenger.
Cha kufanya kwenye hiyo mechi Arteta aingie na kalamu na karatasi, ajifunze mbinu za pep ambazo hakumfundisha.
Hiyo mechi pep atafungua lile file lenye password ndeeeeefu.
Arteta asilogwe acheze ule mfumo wa pep, kumbuka Arsenal haina De Bryune atapigwa kipigo cha mbwa koko.
Na zaidi Arsenal waombee Mungu De Bryune asibadilike rangi usoni akawa mwekundu.
Sent using Cash Money Wings

Daah Torreira ni pigo hili.TEAM NEWS
Arsenal confirm fractured ankle for Torreira. No return date set.
*Calum Chambers*
Left knee. Ruptured anterior cruciate ligament of his left knee during Chelsea (h) on 29 December. Successful surgery completed. Rehabilitation process expected to take between six to nine months.
*Sead Kolasinac*
Right shoulder. Significant strain to right shoulder joint during Everton (h) on 23 February. Aiming to return to full training by the end of March.
*Cedric Soares*
Left knee. Aiming to be in full training next week (w/c Monday 9 March).
*Kieran Tierney*
Now back in full training.
*Lucas Torreira*
Right ankle. Sustained fracture to right ankle during Portsmouth (a) on Monday. Awaiting further specialist reviews which will determine recovery plan.
Hahahahahahahaha aiseeeeehhhhDullyJr tumempa HESHIMA KUBWA ya kuwa balozi wa kudumu wa Chelsea. Baada ya kuutathimini mchango wake wa kishabiki alioutoa kwenye mechi na Liverpool.
Kwahiyo ataendelea kufanya majukumu yake ya kusupport na kushabikia Arsenal yake, ila akija kule kwetu tutamuhesabia kama balozi wetu anayeiwakilisha chelsea nje ya jukwaa la Chelsea.
Tutaendelea kumshirikisha mambo yetu ya ndani na tupo tayari kupokea ushauri wake wa kujenga kama ambavyo amekuwa akitushauri.
Sent using Cash Money Wings
Aiseeeehhh hii ikitokea hii nyumbu tutawafanya walie na kusaga meno kila tukikutana,na ile rekodi ya kuchukua ubingwa bila kupoteza tutaivunja wenyewe.....Taarifa kutoka Arsenal zinasema Arsenal wako tayari kuswap deal la lacazette na Raul Jimenez wa wolves.
Pia wapo tayari kumruhusu Joel willock RB Leipzig ili kumpata upamericano badala ya Emilie Smith Rowe kama ilivyozungumzwa awali.
Pia taarifa kutoka ndani Arsenal iko tayari kuwaacha wachezaji 7 mpaka tisa dirisha kubwa wachezaji wanaopigiwa chapuo kuachwa ni.
Henri mikhitariany
Mo elneny
Papa
Niles
Mateo
Rob holdibd
Willock
Ozil
Lacazette
Arteta anataka kutebgeneza career yake pale Arsenal. Anao walenga.
Dan ceballos
Upamericano
Jimenez
Halloget
Coutinho
Ruben dias
Thomas partey.
The New generation 2020/2021.
Jimenez kwa Lacazette hapo tutakuwa tumelamba dili kwa asilimia Milioni kabisa,huyu willock hata kwenye uwanja wa mazoezi asionekane kabisa kabisaTaarifa kutoka Arsenal zinasema Arsenal wako tayari kuswap deal la lacazette na Raul Jimenez wa wolves.
Pia wapo tayari kumruhusu Joel willock RB Leipzig ili kumpata upamericano badala ya Emilie Smith Rowe kama ilivyozungumzwa awali.
Pia taarifa kutoka ndani Arsenal iko tayari kuwaacha wachezaji 7 mpaka tisa dirisha kubwa wachezaji wanaopigiwa chapuo kuachwa ni.
Henri mikhitariany
Mo elneny
Papa
Niles
Mateo
Rob holdibd
Willock
Ozil
Lacazette
Arteta anataka kutebgeneza career yake pale Arsenal. Anao walenga.
Dan ceballos
Upamericano
Jimenez
Halloget
Coutinho
Ruben dias
Thomas partey.
The New generation 2020/2021.
Nyumbu wanakuchora tu, na watakesha makanisani isitokee hiyoAiseeeehhh hii ikitokea hii nyumbu tutawafanya walie na kusaga meno kila tukikutana,na ile rekodi ya kuchukua ubingwa bila kupoteza tutaivunja wenyewe.....
Sent using Jamii Forums mobile app

Kama mtu alikuwa out of coverage kwa muda kidogo akiangalia hii axed list lazima atahoji na Mustafi je? Dah the player has been reborn under Arteta, kawa bonge la beki.Taarifa kutoka Arsenal zinasema Arsenal wako tayari kuswap deal la lacazette na Raul Jimenez wa wolves.
Pia wapo tayari kumruhusu Joel willock RB Leipzig ili kumpata upamericano badala ya Emilie Smith Rowe kama ilivyozungumzwa awali.
Pia taarifa kutoka ndani Arsenal iko tayari kuwaacha wachezaji 7 mpaka tisa dirisha kubwa wachezaji wanaopigiwa chapuo kuachwa ni.
Henri mikhitariany
Mo elneny
Papa
Niles
Mateo
Rob holdibd
Willock
Ozil
Lacazette
Arteta anataka kutebgeneza career yake pale Arsenal. Anao walenga.
Dan ceballos
Upamericano
Jimenez
Halloget
Coutinho
Ruben dias
Thomas partey.
The New generation 2020/2021.
Hawa RB Leipzig bora tuwape willock kuliko Emile Smith Rowe. Dogo mimi huwa namuelewa sana! Ana talent kubwa sanaTaarifa kutoka Arsenal zinasema Arsenal wako tayari kuswap deal la lacazette na Raul Jimenez wa wolves.
Pia wapo tayari kumruhusu Joel willock RB Leipzig ili kumpata upamericano badala ya Emilie Smith Rowe kama ilivyozungumzwa awali.
Pia taarifa kutoka ndani Arsenal iko tayari kuwaacha wachezaji 7 mpaka tisa dirisha kubwa wachezaji wanaopigiwa chapuo kuachwa ni.
Henri mikhitariany
Mo elneny
Papa
Niles
Mateo
Rob holdibd
Willock
Ozil
Lacazette
Arteta anataka kutebgeneza career yake pale Arsenal. Anao walenga.
Dan ceballos
Upamericano
Jimenez
Halloget
Coutinho
Ruben dias
Thomas partey.
The New generation 2020/2021.
Man City wako vizuri lakini nakuhakikishia hatutakuwa wanyonge!.. Itabidi watoke jasho na damu kushinda hiyo game

Kwa mujibu wa taarifa iliyo toka baada ya game kwamba torreira aliumia ankle
ila sasa www.arsenal.com hii ni source wame publish taarifa mpya kwamba torreira amepata fracture kwenye ankle yake
tunaposema ( fracture) ni kuvunjika pia tunaposema ni maungio ya mifupa kati ya mguu na unyayo au niseme leg and foot kama nitakuwa sawa
injury hii uwa inategemea na nature na kisababishi cha injury anatakiwa kufanya exercise mapema ili kuepuka injury za kujirudia baadae
mwisho team imesema now yupo chini ya wataaramu kuweza kujua ukubwa wa damage na mda gani atakuwa nje kwa ajili ya rehab