DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Hahaha nimemuona kule jukwaa la Liverpool anaomba msaada wa kufundishwa namna ya kuandika vizuri kimombo,
Nashukuru mkuu umejitolea kumfundisha lugha mama kwanza....maana anakimbilia lugha ya pili wakati ya kwanza bado hajaifahamu vema.
Sent using Jamii Forums mobile app


