Kwa hiyo Makombe yenu ya UEFA mliyochukua hayana maana kwa kuwa mlishinda wakati hakukuwa na sheria za offside..logic ya kijinga sana hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ule hakuna offside mbona nyinyi mlishindwa kufunga mabao ya kutosha!.. Tena enzi tunamaliza msimu bila kufungwa nyinyi level yenu ilikuwa kama Aston villa sasa hivi!. Yaani mlikuwa hovyoooooooo! Hata big four mlikuwa mnaiona kwenye karatasi tu!Wakati uo mpira hakuna cha offside akuna cha nini ..ivyo walikuwa wanacheza bila mwelekeo wowote angalia mpira wa sasa ..ndo maana timu kama Arsenal mifumo ya uendeshaji ilivyobalika zikaanza kupoteana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya Offside ipo tangu mwaka 1863 na imekuwa ikifanyiwa mabadiliko mara kwa mara kama ambavyo inataka kufanyiwa maboresho mwaka huu.Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma Bolton
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaamua kujifurahisha huyoSheria ya Offside ipo tangu mwaka 1863 na imekuwa ikifanyiwa mabadiliko mara kwa mara kama ambavyo inataka kufanyiwa maboresho mwaka huu.
Za kusikia vijiweni changanya na zako mkuu.
Duh nilikuwa sijui ii issue aise..Sheria ya Offside ipo tangu mwaka 1863 na imekuwa ikifanyiwa mabadiliko mara kwa mara kama ambavyo inataka kufanyiwa maboresho mwaka huu.
Za kusikia vijiweni changanya na zako mkuu.






Ndio maana nikasema mkimbizi kutoka Liverpool, Chelsea imejulikana baada ya ujio wa Abrahamovic na Jose MoulinhoLiverpool haiwezi kuwa na hadhi ya kushabikiwa na V.I.P kama mimi mkuu..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Haelewagi huyo akishalikokaNdio maana nikasema mkimbizi kutoka Liverpool, Chelsea imejulikana baada ya ujio wa Abrahamovic na Jose Moulinho
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo ww umezaliwa miaka ya 2000,taja kikosi cha arsenal invincibleWakati uo mpira hakuna cha offside akuna cha nini ..ivyo walikuwa wanacheza bila mwelekeo wowote angalia mpira wa sasa ..ndo maana timu kama Arsenal mifumo ya uendeshaji ilivyobalika zikaanza kupoteana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii timu yetu ni pasua kichwa ila tusubiri tuone nini kitafanyikaSasa na nyie Tott kafungwa, Chelsea na Man utd kadraw, unaweza dhani mtatumia fursa kama hizo kupanda ... ila sasa, ngoja uone viroja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo tunacheza na Portsmouth FA cup round ya 5, mechi itaanza saa tano kasoro robo usiku saa za Africa mashariki.Ndugu zanguni kumbe Leo tunacheza FA nlikuwa sijui maana juzi nilivurugwa sikutaka kusikia habari za mpira,kuna updates zozote zile kuhusu timu yetu ,naona tumeamua kukaa kimya kabisa baada ya matokeo ya Alhamisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nione kikosi kitakuwaje ila naona hii mechi imepoteza mvuto kwa mashabiki wenzangu maana ,leo washkaji zangu karibia 6 the gunners wenzangu nikiwauliza mnacheki game,wanadai wanalala na hata humu sioni watu kuizungumzia au sababu ya kutolewa Alhamisi Europa inaweza ikawa morali ya kufuatilia timu imeshuka au tunaidharau Portsmouth na hata Mimi binafsi sikujua kama Leo tunacheza hadi nlivyoangalia fixtures za Leo ndo nkaonaMkuu leo tunacheza na Portsmouth FA cup round ya 5, mechi itaanza saa tano kasoro robo usiku saa za Africa mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app