Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Subs: Leno, Maitland-Niles, Holding, Xhaka, Ceballos, Pepe, Lacazette
Here's our @EmiratesFACup team news...
@PabloMV5 makes his debut
@DavidLuiz_4 partners Pablo
@EddieNketiah9 leads the attack
#EmiratesFACup
Daah Arteta nae anatupa majaribu, maumivu ya Europa bado hayajaisha anakuja na kikosi anachojua yeye. Ngoja tuone ila tusitegemee makubwa.Willock, Nelson wanaweza mbele?
Nipo naicheki hii game mkuu,bora nisile lakini nisikose kucheki game inayoihusu Arsenal.....Ngoja nione kikosi kitakuwaje ila naona hii mechi imepoteza mvuto kwa mashabiki wenzangu maana ,leo washkaji zangu karibia 6 the gunners wenzangu nikiwauliza mnacheki game,wanadai wanalala na hata humu sioni watu kuizungumzia au sababu ya kutolewa Alhamisi Europa inaweza ikawa morali ya kufuatilia timu imeshuka au tunaidharau Portsmouth na hata Mimi binafsi sikujua kama Leo tunacheza hadi nlivyoangalia fixtures za Leo ndo nkaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah Arteta nae anatupa majaribu, maumivu ya Europa bado hayajaisha anakuja na kikosi anachojua yeye. Ngoja tuone ila tusitegemee makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app


Nipo naicheki hii game mkuu,bora nisile lakini nisikose kucheki game inayoihusu Arsenal.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ujinga wa hivi vitimu vidogo, vinapania mechi sana. Matokeo yake wanaumiza wachezaji.
Torrera nje, pigo kubwa hili.Daah ujinga wa hivi vitimu vidogo, vinapania mechi sana. Matokeo yake wanaumiza wachezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari wametuumizia torreira dah majanga kweliNipo naicheki hii game mkuu,bora nisile lakini nisikose kucheki game inayoihusu Arsenal.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaap jamaa tayari maana kaumia vibaya,nafikiri ile ni mpaka next season
Kabisa,yaani linapiga mibackpass muda woteSijaelewa kwanini Sokratis anacheza beki ya kulia wakati Maitland yupo nje.
Jamaa hawezi kupandisha timu kabisa, mipira yote anarudisha nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa huyu Willock aiseeeh mizinguo sanaHii mechi angewaweka kina Auba ingeisha first half then anafanya sub kwa senior wote,hawa watoto ndio wametufikisha hapa leo,ukweli hawaaminiki hawa