DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Huyu dogo yuko vizuri toka anaenda leeds, halafu nikashangaa sana eti hapati namba kule!.. Dogo ni finisher wa hatari kama martinellIla wazee wangu huyu Nketiah ni Complete striker![]()
anyway... great performance ! Pablo Mari looks a bit slow but very solid.
Naona umeweka Picha ya Sarri , kuna comment uliwaambia Liverpool wakivunja 49 unbeaten utolewe Jf








Yeye ndiye yupo na wachezaji mazoezini... Sisi tuendelee kuwa wapenzi watazamaji tu.. Tusimjaji sana hasa kabla gemu haijaanza.Daah Arteta nae anatupa majaribu, maumivu ya Europa bado hayajaisha anakuja na kikosi anachojua yeye. Ngoja tuone ila tusitegemee makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lacazette hayupo fomu tu.. Kuna siku atarudisha makali tuanze kumtamani tena... Jamaa alishafunga mengi magumu kuliko hata ya nketiah... Tusubir tu tumesahau last season kuna watu walipendekeza auba auzwe laca abaki tuongeze hela kwenye transfer budget sijui.... Ila sijui kwa sasa maisha yangekuwaje kama hilo lingepitishwa.Lacazette ajifunze hapa.View attachment 1375101View attachment 1375102
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio ninalo lisema kila siku, mpaka nimeona Bora ninyamaze tu maana nina zaidi ya miaka 20 naiangalia gunners. Kocha yupo na wachezaji kila siku lakini utaskia washabiki tunajua zaidi kuliko kocha.Yeye ndiye yupo na wachezaji mazoezini... Sisi tuendelee kuwa wapenzi watazamaji tu.. Tusimjaji sana hasa kabla gemu haijaanza.
Hili ndio ninalo lisema kila siku, mpaka nimeona Bora ninyamaze tu maana nina zaidi ya miaka 20 naiangalia gunners. Kocha yupo na wachezaji kila siku lakini utaskia washabiki tunajua zaidi kuliko kocha.
Kweli kabsHili ndio ninalo lisema kila siku, mpaka nimeona Bora ninyamaze tu maana nina zaidi ya miaka 20 naiangalia gunners. Kocha yupo na wachezaji kila siku lakini utaskia washabiki tunajua zaidi kuliko kocha.
Hahahaaaaaaaaa ile rekodi imewekwa kwa ajili yetu ili kulinda heshima yetu....Naona umeweka Picha ya Sarri , kuna comment uliwaambia Liverpool wakivunja 49 unbeaten utolewe Jf![]()
HaswaaaaaaNa wakipangiwa hao wanaowataka tunambulia kipigo au draw...
Kweli mkuu, wewe angalia tu utaonaKweli kabs