#afc
Patamu hapoFixcture yetu
March
7...Westham H
14..Brighton A
22...Southampton A
April
4....Norwich H
13..Wolvers A
18..Leicester H
26..Spurs A
May
2...Liverpool H
9...Aston Villa A
17..Watford H
NB:kuna kiporo na man city hapo katikati kitapigwa Home.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man city ni away.Fixcture yetu
March
7...Westham H
14..Brighton A
22...Southampton A
April
4....Norwich H
13..Wolvers A
18..Leicester H
26..Spurs A
May
2...Liverpool H
9...Aston Villa A
17..Watford H
NB:kuna kiporo na man city hapo katikati kitapigwa Home.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana mdogo unapenda shirki!! Inakusaidia nini??Kuna haja gani ya kupambana kwenda mashindano ya UEFA ilihali mnaenda kusindikiza wanaume kila mwaka? Bora mmalize nafasi ya 10 mjikite kwenye kujenga timu zaidi EPL.
Sent using Cash Money Wings
Aliyekwambia tunaenda kusindikiza kama wewe nan? Kwanza tunaunda timuKuna haja gani ya kupambana kwenda mashindano ya UEFA ilihali mnaenda kusindikiza wanaume kila mwaka? Bora mmalize nafasi ya 10 mjikite kwenye kujenga timu zaidi EPL.
Sent using Cash Money Wings
Hili ndio la msingiKilichobaki ni kucheza kila mechi kama fainali...piga ua naiona top 4 na sis wana asenali tukiwemo
Bila shaka ww fan wa manureMsije na matokeo yenu mfukoni kama ya Europa. Mechi zilizobaki mkitoa draw 7 na win 2 msitukane wachezaji wenu. Maana hamkawii kusema mmelogwa
Sioni Arsenal ikimaliza top 4. Bado mnakikosi cha kawaida sana.
Na zaidi kuelekea Mwisho wa ligi timu ndogo zinapambana kupata matokeo. Madraw ni halali yenu. SHUBAAAAMIT ZENU
Sent using Cash Money Wings
Aliekwambia Arsenal inasindikiza ni nani? Haya ni mapito tu mema yajaKuna haja gani ya kupambana kwenda mashindano ya UEFA ilihali mnaenda kusindikiza wanaume kila mwaka? Bora mmalize nafasi ya 10 mjikite kwenye kujenga timu zaidi EPL.
Sent using Cash Money Wings
Kama wewe unavyosindikiza wanaume bavaria?????Kuna haja gani ya kupambana kwenda mashindano ya UEFA ilihali mnaenda kusindikiza wanaume kila mwaka? Bora mmalize nafasi ya 10 mjikite kwenye kujenga timu zaidi EPL.
Sent using Cash Money Wings
Naona kijana toka upenye katika tundu walilolitoboa Watford umeanza kuwa jeuri,kumbuka ile ni FA.Msije na matokeo yenu mfukoni kama ya Europa. Mechi zilizobaki mkitoa draw 7 na win 2 msitukane wachezaji wenu. Maana hamkawii kusema mmelogwa
Sioni Arsenal ikimaliza top 4. Bado mnakikosi cha kawaida sana.
Na zaidi kuelekea Mwisho wa ligi timu ndogo zinapambana kupata matokeo. Madraw ni halali yenu. SHUBAAAAMIT ZENU
Sent using Cash Money Wings
Hahahahahaha huwaga nawaelewa sana washabiki wa Liverpool wana mbinu kali kama za kocha wao....Ndugu zangu mashabiki wa Arsenal niwaambie kitu, Mkifungwa mechi yoyote ile msiongee Kiswahili humu nyie Tandikeni Kimombo ( English) Hakuna mtu atakayekuja kuwasumbua huu watatokomea wote kusikojulikana mfano mzuri ni kule kwenye uzi wetu Liverpool wanakula kona tu.