Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sokratis, Luiz ,Chambers ,Holding ,Mustafi, Lacazette, Leno wapo wengi ambao ni are not good enough for this club Hamtakuja ku compete for anything ni Aubameyang peke yake ambaye unaweza kumuita World class player at this club waliobakia ni Takataka.

Arsenal are not good enough for this club
Sawa but you better shoot an email to the management coz we here can do nothing.
 
How did we lose this game? Dah inasikitisha sana. Lakini hamna namna, maajabu katika mpira ndio kama hivyo.
 
OUUUUUUTT...
Screenshot_20200228-051008_All%20Goals.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye baada ya miaka 22 ya Mzee Wenger timu yetu ya ARSENAL imejifia rasmi na inazidi kudidimia!chini ya Mzee Wenger tumecheza champions league karibia mara zote na hata Europa league tukafikia nusu fainali na alivyokuja Unai akakuta Msingi wa babu bado umekaa vizuri tukafikia hadi fainali na kuingia top 6 sababu Msingi bado ulikuwa upo sawa Leo hii timu hii hata top 10 hatuna uhakika wa kuimaliza na tumetolewa round ya 32 tena Europa league duh ARSENAL yangu imejifia rasmi na itachukua miaka na miaka kukaa sawa hata big players hawatataka kuja kwenye timu ambayo msimu ujao hatutashiriki champions league wala Europa league Leo hii ARSENAL imetolewa ila wolves amefuzu tena kacheza na timu ya spain duh hatari sana na msimu wetu ndo umeisha rasmi hata mechi zilizobakia kuangalia ni kujitafutia maumivu makali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uandishi kama wa milango3...

Tukubaliane tu hii mechi wachezaji hawakuwa timamu vizuri....Au pia walidharau mechi baada ya kupata ushindi ugenini... Japo tuna maumivu ila mimi nimekubaliana na hali... Njia ya kuingia uefa kupitia Europa yenye misukosuko ndo hivyo tena blocked kwetu... Hapa ni kukomaa na njia iliyobaki ambayo ni ngumu kiukweli.
Yani kumbe we jamaa ni shabiki wa Arsenal. Unavyokujaga jukwaa letu nikajua unashabikia timu ya maana kweli.

Kumbe Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom