Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

A player I can see Arsenal going in for is Willian, who will be a free agent this summer. The Athletic reports that contract talks have stalled with Chelsea as he wants a 3 year deal. His agency is owned by Kia Joorabchian, Edu's agent, who brought David Luiz to Arsenal.

Willian:

"If you ask my wife if she wants to leave London, she'll say no. My daughters feel the same way. Of course, Brazil is Brazil, right? It's our home, our culture. We always feel good when we go there on holiday and see family and friends. But London is my 2nd home."
 
Ni usajili wa ghafla uliowahi kufanyika duniani muda mchache kabla mechi Olympiacos na Arsenal haijaanza dogo akasajiliwa the gunners na akawemo kwenye picha rasmi ya timu lakini ukweli ukoje?Huyu dogo ni moja wa mascot walioingia uwanjani na timu kama ilivyo ada kusheheresha mpambano sasa wakati mamemaliza majukumu yao wanapaswa kutoka dogo akaghafilika uelekeo wake akabaki anakodoa macho na hadi wachezaji wa Arsenal walivyoamua kumuita ajumuike kwenye picha maana muda ule ulikuwa wa jukumu la picha, vip miaka ya baadaye ikitokea akaja akacheza Arsenal kwa maana moja au nyingine na hichi kisa chake itakuwaje
lukinjatigana-20200221-0001.jpeg
 
Ni usajili wa ghafla uliowahi kufanyika duniani muda mchache kabla mechi Olympiacos na Arsenal haijaanza dogo akasajiliwa the gunners na akawemo kwenye picha rasmi ya timu lakini ukweli ukoje?Huyu dogo ni moja wa mascot walioingia uwanjani na timu kama ilivyo ada kusheheresha mpambano sasa wakati mamemaliza majukumu yao wanapaswa kutoka dogo akaghafilika uelekeo wake akabaki anakodoa macho na hadi wachezaji wa Arsenal walivyoamua kumuita ajumuike kwenye picha maana muda ule ulikuwa wa jukumu la picha, vip miaka ya baadaye ikitokea akaja akacheza Arsenal kwa maana moja au nyingine na hichi kisa chake itakuwajeView attachment 1365119
Asije kiwa kama Willock tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The rumour refuses to go away

This time, the Daily Mail reports that Arteta will be afforded 'around £261.5m' for transfers this summer.

This is coming just after The Express reported Raul Sanlehhi guaranteing Arteta a large budget irrespective of our UCL status.

Could there be truth in this?
Duuh! £261 mzee baba ikiwa kweli aisee tunachukua ligi january tu.
 
Acha ushabiki maandazi Ole siyo mbovu kimbinu.

Ukiondoa Steve Bruce Ole ni legend pale EPL kuliko Lampard na Arteta.

Respect our Manager tafadhali.
Amini nawaambieni arteta ni kocha mzuri kuliko Lampard na imagine huyu angepewa timu mwanzoni kabisa yan ndani ya mda mchache ameweza kutengeneza structure ambayo inaonekana na amewafanya wachezaji wawe bora zaidi makocha wachache wenye vipaji kama ivyo ndo maana namkubali sana
Sio Lampard mechi 3 anafungwa na manyumbu ameshindwa kimbinu hata na ole gunnar ambaye kimbinu ni mbovu ndo maana nathubutu kusema Lampard hata apewe wachezaji gan hawezi kuwapa kombe chochote Chelsea hata msimu ujao najua mashabiki wa Chelsea watachukia ila makosa yake wanayachukulia poa kwa sababu hawajasajili ndo maana hana pressure ila msimu ujao ndo tutayaona madhaifu yake kimbinu akishapewa pesa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From | Arsenal will send scouts to watch midfielder Bryan Cristante in action for Roma this weekend. Player is considered a good fit with the Premier league due to his physical characteristics.

 
Arsenal also have RB Leipzig defender Dayot Upamecano on their transfer hit list this summer. [@MirrorFootball]
 
Skhodran Mustafi vs Olympiacos (A)

Clearances (3)
Interceptions (2)
Tackles (3)
Ground duels won (4)
Aerial duels won (6)
Touches (89)
Passing accuracy (88%)
Accurate Long balls (6)
Key passes (1)

Third clean sheet in a rowView attachment 1364675
Hata huyu na Xhaka wangeuzwa na mashabiki walikuwa washaafiki hilo... Na baadaye majuto ni mjukuu.
 
wachezaji wanao ongoza kwa kutupia magoli kwa klabu ya Arsenal msimu huu ni:

Aubameyang 17
Martinelli 10
Lacazette 8
Pepe 6
Willock 4
Saka 3
Luiz 2
Nelson 2
Sokratis 2
Torreira 2
Özil 1
Nketiah 1
Bellerín 1
Chambers 1
Holding 1
Ceballos 1
Maitland-Niles 1
Mustafi 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukayo Saka 2019/20 season so far;

Goals
Assists

• Most assists for Arsenal this season
• Most assists in the UEFA Europa League this season
• More assists than anyone at Manchester United & Chelsea
• He's just a 18 year old playing as LB when that's not even his natural position.

Generational Talent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mustafi on Arteta:

"Even though I’ve played for many years I’m learning a lot from Mikel. He speaks about stuff I’ve never heard before — simple things, but stuff that you have to remember" #Arsenal

Mustafi:

"Mikel is putting the basics back into the team. We still need to work on it a lot because we still complicate our lives too much. I think he has had a very good impact on the team" #Arsenal
IMG_20200220_000959.jpeg
 
Mumeona nyie viazi mbatata ..apo London sisi ndo wababe ..sisi ndo tunaibeba London kwenye mabega yetu ..sisi ndo wababe na watawala wa London ..bila sisi hakuna London ..London inatamba kwenye soka kwa sababu yetu ..ivyo nyie wengine mutulie kama mulivyo..

London is Blue..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumeona nyie viazi mbatata ..apo London sisi ndo wababe ..sisi ndo tunaibeba London kwenye mabega yetu ..sisi ndo wababe na watawala wa London ..bila sisi hakuna London ..London inatamba kwenye soka kwa sababu yetu ..ivyo nyie wengine mutulie kama mulivyo..

London is Blue..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi ulipotea baada ya Ole sendeka kuwapiga kipigo cha umbwa koko

Subiri keshokutwa lewandowisk aondoke na mpira wake
 
Back
Top Bottom