Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on Mustafi:

"I put my trust in him, I speak to him & try to understand what was happening. I try to give [my players] answers & solutions & then its up to the players. It is not me that plays, its him that makes the effort & the decisions. So far he has been really good"
 
Kufungwa kwa spurs na droo ya Sheffield United nafasi ya 5 ipo wazi kabisa kwa sasa ila timu yangu hii huwa haitabiriki nafasi adimu kama hii unaweza kushangaa hatufanyi kitu kinachotakiwa tufanye ila kwa sasa nafasi ya 5 ipo open kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal team news:

Héctor Bellerín is back in full training & being assessed ahead of Everton (h) further to missing Olympiakos (a) as a precaution to tight left groin.

Sokratis Papastathopoulos (right knee) is being assessed.

Mesut Özil & Lucas Torreira are available.
 
Cedric Soares (left knee) is progressing well with gym work. Aiming to be in full training by end of February.

Kieran Tierney, good progress being made in rehabilitation & has commenced participation in group training sessions. Aiming to be in full training by end of February.
IMG_20200222_215526.jpeg
 
Juzi ulipotea baada ya Ole sendeka kuwapiga kipigo cha umbwa koko

Subiri keshokutwa lewandowisk aondoke na mpira wake
Yale magoli ya kubebwa bebwa uoni VAR inavyotunyima ushindi wa halali kabisa?? Ao wazee wa Bayern wanajua kabisa tulishawahi kuwagaragaza tena pale pale kwako ..sasa wanakuja hme ..andika maumivu apo..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale magoli ya kubebwa bebwa uoni VAR inavyotunyima ushindi wa halali kabisa?? Ao wazee wa Bayern wanajua kabisa tulishawahi kuwagaragaza tena pale pale kwako ..sasa wanakuja hme ..andika maumivu apo..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
VAR unaisingizia

VAR imewabeba Mara ngapi huoni ?

Ushindi wa Leo umefufuka , keshokutwa usipotee tena
 
Leno

"We want to go to the final again & we want to win this trophy because last season we got to the final & it was very disappointing to lose so this year we have another chance but I think we have to take it step by step & we took the first step to go to the last-16"
FB_IMG_1582440264969.jpeg
 
Hivi kwanini Maitland-Niles hapangwi?

Kwangu mimi huyu jamaa ni bora kuliko Bellerin
 
Mumeona nyie viazi mbatata ..apo London sisi ndo wababe ..sisi ndo tunaibeba London kwenye mabega yetu ..sisi ndo wababe na watawala wa London ..bila sisi hakuna London ..London inatamba kwenye soka kwa sababu yetu ..ivyo nyie wengine mutulie kama mulivyo..

London is Blue..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ni wakimbizi kutoka Liverpool hatuna shida nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My prediction lineup

Formation: 4-2-3-1

When Attack Formation: 2-3-5

When Defend Formation : 4-4-1-1

Arsenal XI: Leno; Bellerin, Mustafi, Luiz, Saka; Xhaka, Torreira; Pepe, Ozil, Aubameyang; Lacazette
 
MATTEO BADO HATOSHI KWENYE KIUNGO CHA ARSENAL

Huu ni ukweli ambao haupingiki , ni ukweli ulio dhahiri

Utajiri wa timu utapata kwenye kiungo , kupitia Kiungo bora utapata nafasi nyingi za Magoli

Arsenal imezorota toka mwanzo wa Msimu sababu ya kiburi cha Unai kumfanya Matteo Gunduz ndio backbone ya Kiungo , huku akimuacha MTU mwenye uwezo Lucas toreira na Ceballos bench ,

Ni ukweli uliodhahiri aliyemponza Xhaka kuonekana Hafai ni Matteo Gunduz ,

Muunganiko wa Matteo gunduz na Xhaka ,ulimfanya Xhaka awe Na kazi mbili hivo kupelekea kufanya Makosa mengi sana na kuonekana Xhaka ni mbovu ,

Wote ni mashahidi Combination ya Xhaka na Lucas toreira huifanya Timu iwe stable eneo la kati kati.

Kiburi cha emery kumkumbatia Matteo Guondouz Kama muhimili wa midfield , alikuwa anatushusha daraja kama asingefukuzwa

Leo Ukiweka viungo xhaka na Ceballos utapata Stability , ukimuweka Ceballos na Lt11 bado timu itakuwa stable

Kwanini Ukimuweka tu Matteo na xhaka au Matteo na Yeyote lazima Kiungo kipate taabu kwanini?

Kwa muono wangu Arsenal Ili tuende mbele zaidi tunatakiwa kuongeza Watu zaidi eneo la kiungo na Kuwatoa mkopo kina Matteo na willock ,

Matteo amekuwa hatimizi majukumu yake ipasavyo , wengi huwa wanafurahia anavyozunguka zunguka WA naona anajituma sana , lakini ndiye mchezaji anayepiga pass za nyuma sana , ndio maana kwa Muda mwingi aliopewa Arsenal ana assist 1 kama sijakosea kwenye EPL , na hana goli lolote KWENYE EPL ,

Hii inadhihirisha Timu inahitajika viungo wanyumbulifu ,wakupiga Key passes kwenda mbele zenye madhara .

Tuliona mechi na Newcastle jinsi Ceballos alivyokuwa anapeleka mipira mbele na kumrahisishia kazi Ozil .

Kitu ambacho Gunduz hana , ni kiungo pia Anakosa creativity, shooting accuracy ,

Tayari Kwa kuliona hili Arsenal inatajwa kufatilia kiungo wa Valencia mithili ya David Silva , anaitwa Carlos Soler ,

Pia wiki iliyopita Arsenal ilituma maskauti kumfatilia kiungo wa Roma anayeitwa BRYAN CRISTANTE

Ni mtizamo tu .
 
Mpira wa kileo kwenye eneo la katikati ni vizuri upate kiungo kutoka Spain, wabunifu wazuri.Tukiachana na Ceballos tumpate Soler itakuwa safi, shida ni kama watasajili kiungo kutoka Ligue1 nategemea another year of struggling.
 
Back
Top Bottom