Dah lakini mkuu kumbuka LAMPARD amechukua timu ambayo mchezaji wetu tegemezi HAZARD aliondoka + Ban ya kutofanya usajili.
Pia Lampard amekuta timu ambayo viwango vya wachezaji masenior vimeshuka ALONSO, EMERSON, PEDRO, BATSHUAYI, DRINK WATER, BAKAYOKO, BARKELY n.k
Ikamlazimu LAMAPRD kutumia wachezaji madogo ambao hawana uzoefu wa epl wakina JAMES, TOMORI, TAMMY, ODOI, MOUNT.
Ndio maana uongozi wa Chelsea kwa kufahamu udhaifu wa kikosi ukampa Lampard mkataba kwamba msimu wa kwanza Lampard ahakikishe timu isishuke daraja.
Kwahiyo Lampard mpaka sasa kuwa top 4 ni amejitahidi, kuendelea kuwa kwenye mashindano ya UCL amejitahidi, kuwa kwenye mashindano ya FA amejitahidi.
Mpaka sasa LAMAPRD kwa Chelsea amekuwa kocha bora na amevuka malengo ya mkataba wake wa msimu wa kwanza, na sidhani kama timu itashuka daraja
Ila kwa msimu ujao ni sahihi kumsema, kumkandia, kumtukana endapo atapata matokeo ya ovyo, baada ya kujenga kikosi chake na hapo ndio mashabiki tutahoji mbinu zake.
Sent using
Cash Money Wings