Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ila siku zote kati kukiwa xhaka gandiuz mpira hauvutii
Wataelewa kidogo kidogoSome said this defence & midfield was uncoachable and to sell them all. Fans need to start putting respect on Arteta’s name, he’s transformed Mustafi Luiz Sokratis Xhaka and many others. Great European away result to take back to the Emirates
Hamna mchezaji muleIla Willock duh!!
v Bournemouth
v Chelsea
v Manchester Utd
v Leeds
v Crystal Palace
v Sheffield Utd
v Chelsea
v Bournemouth
v Burnley
v Newcastle Utd
v Olympiacos
Haha... Ni kweliHamna mchezaji mule
Kiukweli Willock anazingua sana!.. Lakini nimejifunza kumuamini kocha! Huyu dogo atakuwa machine soon!.. Hebu muangalie Lacca, anaanza kurudi kwenye hali yake, check Ozil ameanza kuscore!.. Mimi naamini kuna kitu anakiona kwa huyu dogo ambacho pengine sisi hatujakiona!..Ila Willock duh!!
Kaka willock hawezi kubadilika kamwe mpira wake unaboa ni ule ule kila siku trust me kuna watu wanaweza kubadilika ila sio willock tena huyu hatakiwi kuwa katika kikosi cha Arsenal anastahili kuwa Championship anapandisha kiwango chakeKiukweli Willock anazingua sana!.. Lakini nimejifunza kumuamini kocha! Huyu dogo atakuwa machine soon!.. Hebu muangalie Lacca, anaanza kurudi kwenye hali yake, check Ozil ameanza kuscore!.. Mimi naamini kuna kitu anakiona kwa huyu dogo ambacho pengine sisi hatujakiona!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nakubaliana na wewe kabisa na ndio imemcost Emery katika mechi zetu za mwanzo wa msimu na ukitaka tufungwe mfululizo waweke kati hao wawili na Guendouzi ndo anamfanya xhaka aonekane haweziIla siku zote kati kukiwa xhaka gandiuz mpira hauvutii
Kwa kweli anaboa sana!.. Ila kwa kuwa bado ana umri mdogo sana anaweza akabadilika! Tumpe muda, labda soka linaweza kuonyesha maajabu yake!.. Nikimkumbuka Sege Gnabry enzi zake Arsenal na jinsi alivyo huko aliko, inasababisha niendelee kumvumilia dogo. Kuanzia sasa nimejipa kazi ya kumfuatilia sana Willock labda nitaweza kukiona kile kocha anachokiona!.. Ila ninahisi Arteta anamchezesha mara kwa mara ili hata ikitokea Ozil kapata injury, basi dogo aweze kuziba pengo, maana hatuna option nyingi hilo eneoKaka willock hawezi kubadilika kamwe mpira wake unaboa ni ule ule kila siku trust me kuna watu wanaweza kubadilika ila sio willock tena huyu hatakiwi kuwa katika kikosi cha Arsenal anastahili kuwa Championship anapandisha kiwango chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikiona kwenye kikosi yupo Willock najua tayari tupo pungufu.Yule Willock hamna kila kitu ni vile kazaliwa tuu ulaya.