Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu kiaje?

Team News:

Ozil hajasafiri na timu inasemwa anaumwa, hivyo Joe Willock huenda akaziba nafasi yake.

Matteo Guendouzi nae huenda akaanza mechi ya leo huku Lucas Torreira naeiakiwa ndio anafanyiwa ukaguzi wa mwisho kuamau kama aanze mechi au aingie kipindi cha pili.

Beki wa kati Pablo Mari nae huenda akacheza.

A must win game.

Lakini tukumbuke tuna game la muhimu zaidi jumapili dhidi ya Everton hivyo suala la Ozil hapo juu na upangaji timu la leo ni la kimkakati zaidi.

Everton sasa ni adui mkubwa kwetu na ni lazima awe neutralised.

COYGs!!

Tunae mwenyeji wetu Sokratis beki wetu mshshara hapa mjini Piraeus, Athens.
Rich kaka adimu sana wewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah lakini mkuu kumbuka LAMPARD amechukua timu ambayo mchezaji wetu tegemezi HAZARD aliondoka + Ban ya kutofanya usajili.

Pia Lampard amekuta timu ambayo viwango vya wachezaji masenior vimeshuka ALONSO, EMERSON, PEDRO, BATSHUAYI, DRINK WATER, BAKAYOKO, BARKELY n.k

Ikamlazimu LAMAPRD kutumia wachezaji madogo ambao hawana uzoefu wa epl wakina JAMES, TOMORI, TAMMY, ODOI, MOUNT.

Ndio maana uongozi wa Chelsea kwa kufahamu udhaifu wa kikosi ukampa Lampard mkataba kwamba msimu wa kwanza Lampard ahakikishe timu isishuke daraja.

Kwahiyo Lampard mpaka sasa kuwa top 4 ni amejitahidi, kuendelea kuwa kwenye mashindano ya UCL amejitahidi, kuwa kwenye mashindano ya FA amejitahidi.

Mpaka sasa LAMAPRD kwa Chelsea amekuwa kocha bora na amevuka malengo ya mkataba wake wa msimu wa kwanza, na sidhani kama timu itashuka daraja

Ila kwa msimu ujao ni sahihi kumsema, kumkandia, kumtukana endapo atapata matokeo ya ovyo, baada ya kujenga kikosi chake na hapo ndio mashabiki tutahoji mbinu zake.

Sent using Cash Money Wings
Kweli kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom