Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaha. dully ROBERTO Aaron Willy salute you guys, kweli mnajitoa sana kusupport mpira 24/7.

Ushabiki wa Mpira unatupa furaha, burudani na Amani. Hatuko tayari kuona vitu hivi vinatoweka.

Kweli haipendezi kwenye huo ushabiki wetu tuingize Chuki, Matusi na kudhalilishana sisi na familia zetu.

Isitoshe hatufahamiani kwa sura wala umri, bali mpira umetukutanisha kwenye haya majukwaa. TUHESHIMIANE TUU

Kama ni kutukanwa binafsi ningekuwa muhanga hapa kwa utani na kejeli nazotoa kwenu pale mnapopata matokeo sio ya kuridhisha.

Still mmekuwa wavumilivu, waelewa na waungana. Huo ndio ushabiki tucheke na tufurahi.

Let's enjoy football. We love you guys.

RESPECT.





Sent using Cash Money Wings
Kwa kweli wewe unatupaga vidonge hapa bila matusi, pia unatoaga ushauri hapa tunapoboronga!.. Kwa kweli wewe ni mtu wa mpira!.. Maana ya utani ni kutaniana na kuinjoy mpira!.. Tatizo kuna wengine wana matusi sana mpaka wanaboa!.. Hebu angalia wale mashabiki wa Aston Villa toka Tz, yaani wamekuwa kama mazuzu, wanatukana matusi mpaka unaona aibu!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli wewe unatupaga vidonge hapa bila matusi, pia unatoaga ushauri hapa tunapoboronga!.. Kwa kweli wewe ni mtu wa mpira!.. Maana ya utani ni kutaniana na kuinjoy mpira!.. Tatizo kuna wengine wana matusi sana mpaka wanaboa!.. Hebu angalia wale mashabiki wa Aston Villa toka Tz, yaani wamekuwa kama mazuzu, wanatukana matusi mpaka unaona aibu!..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hapa....
middle_simba_20200204_200525.jpeg
Screenshot_20200204-194204.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technical director Edu spoke to Lille about taking centre-back Gabriel Magalhães on loan last month with a view to a permanent deal in the summer but was slapped down by Lille president Gérard Lopez. Arsenal are lining up a £30million summer transfer swoop. [Mark Irwin]
 
Sawa tuweke makombe mezani. Haya mimi naanza kwa kutoa la UCL hilo hapo mezani, naongeza na makombe 2 ya UEFA EUROPA.

Haya yatoe ya kwako ya UCL na EUROPA tafadhali, weka hapa mezani niyaone

Sent using Cash Money Wings
Aiseh yaani wewe mgumu kuelewa ,ila sawa tutakwenda taratibu.....namaanisha hivi weka jumla ya makombe yako yote mbona kama kuna kitu unafichaficha mkuu...!!!!basi subiri nije na takwimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitawekaje jumla ya makombe, mi natoa makombe makubwa duniani. Mbarara nyingine tuachane nazo.

We unizingua ngoja nikaweke mezani makombe ya UEFA kule Man u na Liverpool.

Hapa napoteza muda wangu, mimi naweka mezani AK 47 na SMG, wewe unang'aninia tuweke manati, mshale, jiwe fatuma.

Shukrani

Sent using Cash Money Wings
Huna hoja...EPL ni mbarara?umekaa 50yrs unalisaka,hao Kops ni mabingwa wa DUNIA lakini shangwe yao kubwa ni kubeba EPL......hizi maneno wakiongea nyumbu ndio ntawaelewa,ila nyinyi na Nottingham Forest hamna tofauti.

NYINYI BADO SANA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom